marafikihuru.blogspot.com
Marafiki Huru Social Network Group: NAFASI YA MTOTO KATIKA JAMII ISIYOMJALI
http://marafikihuru.blogspot.com/2010/09/nafasi-ya-mtoto-katika-jamii-isiyomjali.html
Marafiki Huru Social Network Group. Wednesday, September 22, 2010. NAFASI YA MTOTO KATIKA JAMII ISIYOMJALI. Tatu mtoto anaunganishwa na taifa moja kwa moja. Sio tu yeye ni taifa la kesho kinadharia bali yeye ndiye kesho yenyewe, yeye ndo msingi, yeye ndo urithi wenyewe, mtoto ndio uthibitisho wa kuwepo kesho yaani kizazi kijacho kinategemea watoto. Unaweza kuwaza kama Mungu akizuia watu kuzaa na kupata watoto itakuwaje? Mgawanyo wa jamii anamokulia mtoto. Kama nilivyoelezea hapo juu utaona na hata ukitak...
marafikihuru.blogspot.com
Marafiki Huru Social Network Group: MINDSET UPGRADE:WE ARE DIVIDED NOT BY OUR DIFFERENCES
http://marafikihuru.blogspot.com/2010/09/mindset-upgradewe-are-divided-not-by.html
Marafiki Huru Social Network Group. Friday, September 10, 2010. MINDSET UPGRADE:WE ARE DIVIDED NOT BY OUR DIFFERENCES. MH,Leo nawapa kutafakari only one thing:. Inaonekana kuwa sababu kubwa ya watu kutengana na kukorofisha na ni kutoelewana katika kukubaliana kwenye mambo ya msingi yanayohusu tofauti zao.Its like saying our differences should separate us just how the Britton used the divide and rule approach during colonialism. I DONT AGREE. Subscribe to: Post Comments (Atom). HIVI SASA NI SAA. Ndo maana...
marafikihuru.blogspot.com
Marafiki Huru Social Network Group: T- SHIRT ZA MARAFIKI HURU
http://marafikihuru.blogspot.com/2010/08/t-shirt-za-marafiki-huru.html
Marafiki Huru Social Network Group. Tuesday, August 31, 2010. T- SHIRT ZA MARAFIKI HURU. Zile T-SHIRT Marafiki huru Bado zipo.weka Oda yako kwa ajili ya Event Ya Marafiki huru ziku ya IDD PILI mfano wa Tshirt Hizo ni huu hapa.hii picha ilipigwa kutoka kwa Rafiki huru alikuwa ameivaa kwenye moja ya Events. Subscribe to: Post Comments (Atom). HIVI SASA NI SAA. Blogs za Marafiki Huru. There was an error in this gadget. IFAHAMU MARAFIKI HURU (MH). We believe Together We Can. Tunapenda kujua nani ni nani na a...
chavalamedia.blogspot.com
Chavala Ideas Platform: *TAFSIRI NZURI YA MAFANIKIO*
http://chavalamedia.blogspot.com/2014/02/tafsiri-nzuri-ya-mafanikio.html
The Birthplace and crossroad of workable Ideas". CHOOSE TO ADVERTISE WITH US. 255 713 883 797. SEPTEMBER IS JUST HERE! THE NEW TERM IS ABOUT TO BEGIN.YOU ARE ENCOURAGED TO BRING YOUR CHILD BEFORE THE CLOSURE OF REGISTRATION! HOTLINE 255 716 230441. TAFSIRI NZURI YA MAFANIKIO*. Nini kitasemwa au kuandikwa kuhusu mimi,naam nitasema nini mbele ya kiti cha enzi? Maisha ni kama mtihani,sasa usijaribu kuangalizia majibu maana kila mmoja ana karatasi yake ya maswali! Muhubiri amesema kuna mambo ameyaona chini y...
chavalamedia.blogspot.com
Chavala Ideas Platform: Papaa On Tuesday.....Heri Mvua Ikanyesha Ukajua Wapi Panavuja!!
http://chavalamedia.blogspot.com/2014/04/papaa-on-tuesdayheri-mvua-ikanyesha.html
The Birthplace and crossroad of workable Ideas". CHOOSE TO ADVERTISE WITH US. 255 713 883 797. SEPTEMBER IS JUST HERE! THE NEW TERM IS ABOUT TO BEGIN.YOU ARE ENCOURAGED TO BRING YOUR CHILD BEFORE THE CLOSURE OF REGISTRATION! HOTLINE 255 716 230441. Papaa On Tuesday.Heri Mvua Ikanyesha Ukajua Wapi Panavuja! Kwenye maisha ya biashara unaweza kuta kila siku unapata hasara, kwa kupata hasara unaweza kujua hasara inatokana na nini. Hasara inakupa sababu ya kuboresha biashara yako. Heri ukapata hasara ...Kweny...
marafikihuru.blogspot.com
Marafiki Huru Social Network Group: UMECHAGULIWA JINSI ULIVYO,JIKUBALI
http://marafikihuru.blogspot.com/2010/12/umechaguliwa-jinsi-ulivyojikubali.html
Marafiki Huru Social Network Group. Thursday, December 23, 2010. UMECHAGULIWA JINSI ULIVYO,JIKUBALI. UMECHAGULIWA JINSI ULIVYO, JIKUBALI HIVYO. 8220;18Kwa maana ujumbe wa msalaba kwa wale wanaopotea ni upuzi, lakini kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. 19Kwa maana imeandikwa: “Nitaiharibu hekima ya wenye hekima na kuzibatilisha akili za wenye akili.” 20Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi mwanafalsafa wa nyakati hizi? Je, Mungu hakufanya hekima ya ulimwengu huu kuwa umpumbavu? Ukisoma Neno la Mungu u...
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 1
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/07/kubatizwa-kwa-moto-uwakao-1.html
Monday, July 14, 2014. Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 1. Huu ni ushuhuda unaotokana na kitabu kinachojulikana kama Baptized by Blazing Fire, Devine Expose of Heaven and Hell kilichoandikwa na Mchungaji Yong-Doo Kim wa Korea. Ni ushuhuda mrefu ambao utakupa mafundisho, maonyo, utakutia moyo na kukuimarisha katika safari yetu ya kuelekea kwa Baba, Mbinguni. 8230;………………………………. KITABU CHA 1 – SEHEMU YA KWANZA. Yesu alitukumbusha tujivike uwezo kwa kuomba kila siku (Marko 9:29). Ni muhimu kuomba kila mara...
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Niliokolewa Toka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 9
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/06/niliokolewa-toka-kwenye-nguvu-za-giza_22.html
Sunday, June 22, 2014. Niliokolewa Toka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 9. Sura ya 7: Kazi za Maajenti wa Shetani. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.” (Eph 6:11-12). Wakati Biblia inasema: “. Biblia hiyohiyo pia inasema kuwa silaha za Mkristo dhidi ya ibilisi na maajenti wake “. Si za mwili, bali zina.
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 5
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/12/kubatizwa-kwa-moto-uwakao-sehemu-ya-5.html
Wednesday, December 10, 2014. Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 5. SIKU YA 11 = =. Kadiri nilivyoomba kwa bidii, nuru kali ilitokea mbele yangu, na mbele ya hiyo nuru alisimama Yesu. " Joo-Eun, nakupenda. Omba bila kukoma; omba kwa bidii; omba kwa moyo wako wote. Usiache kuomba. Nilihisi ujotojoto na niliweza kumwona Yesu kwa wazi zaidi. Ndipo nikatambua ni kwa nini Yesu aliniambia niinue mikono yangu juu zaidi. Niliweza kumwona wazi zaidi nilipofanya hivyo. Nikamwambia, " Haa! Dada Baek, Bong-Nyo. Mashetani y...
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 4
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/07/kubatizwa-kwa-moto-uwakao-4.html
Sunday, July 27, 2014. Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 4. SIKU YA 10 = =. Wakati nikiwa nimezama katika kuomba kwa lugha, joka jekundu lilinitokea. Lilikuja kwangu kwa kasi na kunirukia. Lilikuwa na macho kama ya mamba na makucha makubwa makali, na likajaribu kunitisha kwa makucha yake. Moshi unaotia kinyaa ulitoka kwenye pua zake. " Ewe shetani mbaya, ondoka kwangu kwa Jina la Yesu. Nilikuwa napaza sauti kama mwanamke mwenye wazimu. Ndipo joka hilo likaelekea upande wa kaka. Fungua macho yako sasa hivi?