biafra-jogging.blogspot.com
BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: HAFLA YA IFTAR YA WANABIAFRA KATIKA MATUKIO
http://biafra-jogging.blogspot.com/2014/07/biafra-sports-club-reg-no-nsc-9848.html
Chama cha Jogginig Kinondoni. Video za Matukio ya Jogging. Friday, July 04, 2014. BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: HAFLA YA IFTAR YA WANABIAFRA KATIKA MATUKIO. BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: HAFLA YA IFTAR YA WANABIAFRA KATIKA MATUKIO. Tarehe 8 Agosti, 2013 ambayo pia ilikuwa 30 Ramadhan, 1434 klabu ya michezo ya Biafra iliandaa hafla ya kushiriki pamoja katika iftar na ku. Mwaka huu tunatarajia kurudia tena hili tukio, kaeni mkao wa kula wadau! Subscribe to: Post Comments (Atom). P O BOX 75333.
biafra-jogging.blogspot.com
BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: February 2013
http://biafra-jogging.blogspot.com/2013_02_01_archive.html
Chama cha Jogginig Kinondoni. Video za Matukio ya Jogging. Thursday, February 28, 2013. JOGGING YAVIKUTANISHA TENA VILABU KUNDUCHI JUMAPILI TAREHE 3 MACHI, 2013. Baada ya mazoezi hayo, wanamichezo wote waliohudhuria watajumuika pamoja makao makuu ya klabuya Kunduchi yaliyopo Malanja Pub ambapo kutafanyika na kikao cha pamoja cha viongozi vilabu shiriki juu ya mustakbali wa mchezo wa mbio za pole pole wilaya ya Kinondoni ikifuatiwa na burudani mbalimbali. Monday, February 25, 2013. Viongozi waliomtembelea...
biafra-jogging.blogspot.com
BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: July 2013
http://biafra-jogging.blogspot.com/2013_07_01_archive.html
Chama cha Jogginig Kinondoni. Video za Matukio ya Jogging. Tuesday, July 30, 2013. MWANANYAMALA JOGGING KUFANYA UCHAGUZI MKUU TAREHE 25 AGOSTI, 2013. Habari yenyewe ndio hii. Ally Salum "Chisco" Katibu Mkuu wa muda wa mwananyamala Jogging. Sports Club inawatakia mwananyamala Jogging Uchaguzi huru na wa haki. Subscribe to: Posts (Atom). BARUA PEPE: biafra.jsclub@gmail.com. P O BOX 75333. DAR ES SALAAM,. ISERE STREET, KINONDONI ‘B’,. SIMU: 255 715 253 653,. MWANANYAMALA JOGGING KUFANYA UCHAGUZI MKUU TAREHE .
biafra-jogging.blogspot.com
BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: March 2013
http://biafra-jogging.blogspot.com/2013_03_01_archive.html
Chama cha Jogginig Kinondoni. Video za Matukio ya Jogging. Tuesday, March 26, 2013. MCHAKATO WA MASHINDANO YA FIFA COPA COCA COLA (U15) 2013 WAANZA RASMI. Mchakato wa mashindano ya Fifa Copa Coca Cola kwa mwaka 2013 umeanza rasmi leo ambapo Rais wa Sh irikisho la Soka Tanzania (TFF) Leodgar Chilla Tenga alifungua semina elekezi iliyo. Kikosi cha Timu ya Vijana ya Bifra (BYFT) kilichoshiriki michuano ya Copa Coca Cola (17) mwaka 2012 mkoa wa Kinondoni. Rais Tenga alitanabaisha kwamba. Kuanzia mwaka huu,.
biafra-jogging.blogspot.com
BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: December 2014
http://biafra-jogging.blogspot.com/2014_12_01_archive.html
Chama cha Jogginig Kinondoni. Video za Matukio ya Jogging. Monday, December 08, 2014. KILELE CHA UHURU MARATHON 2014 CHATOQ CHANGAMOTO KWA WANABIAFRA KUJIANDAA VYEMA. Waziri wa Michezo, Habari na Utamaduni Dr. Fenella Mukangara (picha kwa hisani ya Issa Michuzi). Wanabiafra katika picha ya pamoja na wanajogging. Klabu ya michezo ya Biafra ilitoa washiriki zaidi ya 10 katika mashindano hayo kwa ngazi mbalimbali kama vile 3, 5 na 21km. Ambapo baadhi yao Juma Ramadhani, Aziza Mwaimu, Zein Ahmed, Noha Ma...
biafra-jogging.blogspot.com
BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: HAFLA YA IFTAR YA WANABIAFRA KATIKA MATUKIO
http://biafra-jogging.blogspot.com/2013/08/hafla-ya-iftar-ya-wanabiafra-katika.html
Chama cha Jogginig Kinondoni. Video za Matukio ya Jogging. Monday, August 12, 2013. HAFLA YA IFTAR YA WANABIAFRA KATIKA MATUKIO. Waheshimiwa Songoro Mnyonge (diwani wa mwananyamala) kulia na Faustine Makima M/Kiti serikali ya mtaa wa Balozi Msolomi/Isere. Mwenyekiti wa Kunduchi Kwanza Jogging Asia Mohamed (kulia). Wanachama wa Kawe Social and Sports Club wakiwakilisha. Wawakilishi toka Kopa Generation Jogging. Watoto wa Biafra wakipata iftar. Wadau na mashabiki wa Biafra wakipata Iftar. Ya michezo ya Bia...
biafra-jogging.blogspot.com
BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: July 2014
http://biafra-jogging.blogspot.com/2014_07_01_archive.html
Chama cha Jogginig Kinondoni. Video za Matukio ya Jogging. Friday, July 04, 2014. BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: HAFLA YA IFTAR YA WANABIAFRA KATIKA MATUKIO. BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: HAFLA YA IFTAR YA WANABIAFRA KATIKA MATUKIO. Tarehe 8 Agosti, 2013 ambayo pia ilikuwa 30 Ramadhan, 1434 klabu ya michezo ya Biafra iliandaa hafla ya kushiriki pamoja katika iftar na ku. Mwaka huu tunatarajia kurudia tena hili tukio, kaeni mkao wa kula wadau! Subscribe to: Posts (Atom). P O BOX 75333. KIKOSI...
biafra-jogging.blogspot.com
BIAFRA SPORTS CLUB REG NO. NSC 9848: BIAFRA YASHIRIKI KATIKA SHEREHE ZA KUKABIDHI VYETI GYA USAJILI KWA VILABU VYA JOGGING TEMEKE TARE 30 NOVEMBA, 2014
http://biafra-jogging.blogspot.com/2014/12/biafra-yashiriki-katika-sherehe-za.html
Chama cha Jogginig Kinondoni. Video za Matukio ya Jogging. Wednesday, December 03, 2014. BIAFRA YASHIRIKI KATIKA SHEREHE ZA KUKABIDHI VYETI GYA USAJILI KWA VILABU VYA JOGGING TEMEKE TARE 30 NOVEMBA, 2014. Katika kuhakikisha tasnia ya mchezo wa mbio za pole pole inakuwa rasmi na kutambulika, Chama cha Mchezo wa Mbio za Pole wilaya ya Temeke (TEJA) kiliandaa hafla fupi ya kukabidhi rasmi vyeti vya usajili kwa vilabu 8 vinavyojihusisha na mchezo wa mbio za polepole wilayani Temeke. Baadhi ya Wanabiafra kati...
blogsdelagente.com
Como aumentar la testosterona « Dia Internacional del Hombre
http://blogsdelagente.com/dih1/2011/02/04/como-aumentar-la-testosterona
Dia Internacional del Hombre. Otro blog de la comunidad de Clarín Blogs. Foros de Debate para el DIH. Como aumentar la testosterona. Febrero 4, 2011. Cuando se trata de diferencias entre hombres y mujeres, algunas son, posiblemente, culturales y otras biológicas. Y en las biológicas más o menos tien. En una cosa en común: la testosterona. Fue testosterona fue la que ayudó a formar su pene y su escroto cuando eras apenas un feto y poner los pelos por primera vez en tu pecho cuando eras adolescente. Las mu...