klb-publishers.org
Maduka ya Vitabu / Bookshops
http://www.klb-publishers.org/klb_tuwasiliane.html
Mfululizo wa Maelezo ya Biblia. Vitabu vya maisha ya kiroho. Kanda na CD za Muziki. Emmaus Shule ya Biblia. Kanisa la Biblia Publishers. POBox 1424, Dodoma. Phone: 255 (0) 26 2354 500. Mobile: 255 (0) 713 609166. Email: This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. Location: Dodoma, Ipagala,. Eneo la Emmaus, off Dar Road. Duka la vitabu Dodoma (Dodoma Bookshop). Kanisa la Biblia Publishers. POBox 1424, Dodoma. Phone: 255 (0) 26 2354 500.
klb-publishers.org
Historia
http://www.klb-publishers.org/klb_historia.html
Mfululizo wa Maelezo ya Biblia. Vitabu vya maisha ya kiroho. Kanda na CD za Muziki. Emmaus Shule ya Biblia. Wakati wa ujenzi wa kituo cha maandiko Dodoma kuanzia mwaka 1991 Nd Helmut Gräf aliendelea kutafisiri Kamusi ya Biblia kutoka kiingereza. Kitabu hiki muhimu cha rejea kilichoandikwa na Don Fleming kilitolewa Dodoma mwaka 1995. Kanisa la Biblia Publishers. POBox 1424, Dodoma. Phone: 255 (0) 26 2354 500. Mobile: 255 (0) 713 609166. Location: Dodoma, Ipagala,. Eneo la Emmaus, off Dar Road.
klb-publishers.org
Kanda na CD za Muziki
http://www.klb-publishers.org/kanda_za_muziki.html
Mfululizo wa Maelezo ya Biblia. Vitabu vya maisha ya kiroho. Kanda na CD za Muziki. Emmaus Shule ya Biblia. Kanda na CD za Muziki. Maji kwa Nchi kavu. Sifa kwa Mungu (Kanda). Sifa kwa Mungu (CD). Sifa kwa Bwana (MP3). Maji kwa Nchi kavu. Dr Andreas Bauer alikuwa daktari katika Hospitali ya Mbesa. Yeye na mke wake Andrea wanatunga nyimbo zao kufuatana na mistari ya Biblia. Anayesikia nyimbo za hao Wajerumani wakiimba Kiswahili anapokea faraja na ujumbe kutoka kwa Mungu. Furahini katika Bwana. Flp 4:4-7.
klb-publishers.org
Wito wa Viongozi wa Kikristo
http://www.klb-publishers.org/vitabu_kwa_viongozi.html
Mfululizo wa Maelezo ya Biblia. Vitabu vya maisha ya kiroho. Kanda na CD za Muziki. Emmaus Shule ya Biblia. Wito wa Viongozi wa Kikristo. Mtumishi Mwaminifu wa Yesu. Wito wa Viongozi wa Kikristo. Mifano ya Kanisa, Injili na Huduma kutoka katika 1 Wakorintho 1 4. Toleo lenye Nyongeza na maswali kwa vikundi. Mtumishi Mwaminifu wa Yesu. Kumfuata Bwana Yesu kama wanafunzi wake walivyomfuata. Kitabu hiki kinajaribu kufundisha masharti ya kuwa mfuasi wa Bwana Yesu kama zilivyotajwa katika Agano Jipya. Baad...
klb-publishers.org
Mfululizo wa Maelezo ya Biblia
http://www.klb-publishers.org/vitabu_mfululizo_wa_maelezo_ya_biblia.html
Mfululizo wa Maelezo ya Biblia. Vitabu vya maisha ya kiroho. Kanda na CD za Muziki. Emmaus Shule ya Biblia. Mfululizo wa Maelezo ya Biblia. Agano la Kale Lasema. Agano la Jipya Lasema. Agano la Kale na Jipya Lasema. Agano la Kale Lasema. Mfululizo wa vitabu 10 ambavyo vinaeleza mistari yote ya Agano la Kale. Maelezo ya Biblia katika vitabu 15 Mwandishi Don Fleming. Mwanzo - Kutoka; kurasa 131. Mambo ya Walawi - Kumbukumbu; kurasa 134. Yoshua - 2 Samweli; kurasa 118. 1 Wafalme - Esta; kurasa 168. Tuwasili...
klb-publishers.org
Vitabu vya maisha ya kiroho
http://www.klb-publishers.org/vitabu_vya_maisha_ya_kiroho.html
Mfululizo wa Maelezo ya Biblia. Vitabu vya maisha ya kiroho. Kanda na CD za Muziki. Emmaus Shule ya Biblia. Vitabu vya maisha ya kiroho. Huduma za Roho Mtakatifu. Imani Yetu ndiyo Ushindi. Je, Unajitahidi Kupata Nini, TAJI au WOKOVU? Matatizo ya Tamaa Mbaya. Huduma za Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu anavyosaidia katika uamsho na kutoa vipawa mbalimbali. Mwandishi Detmar Scheunemann ni mwalimu wa Biblia anayetoa huduma zake za kujenga kanisa kiroho huko Ujerumani na Indonesia. Imani Yetu ndiyo Ushindi.
agentiakairos.ro
Parteneriate | Agentia Kairos
http://www.agentiakairos.ro/despre-noi/parteneriate
Dorim să extindem viziunea Bisericii cu privire la Împărăţia lui Dumnezeu până la marginile pământului. Contribuie acum la răspândirea Evangheliei, la ajutorarea săracilor şi la proiectele de pe câmpul de misiune! Dorești noutăți de la Agenția Kairos? Te rugăm să introduci adresa ta de email mai jos:. Purtat de sotia mea. A dărui pentru Împărăție, de Myles Wilson. Realități indiene în cuvinte românești, de Carmen Simiraș. Uniunea Cultului Creştin după Evanghelie, www.bcev.ro. Sunt multe puncte tari şi mu...
klb-publishers.org
Links
http://www.klb-publishers.org/klb_links.html
Mfululizo wa Maelezo ya Biblia. Vitabu vya maisha ya kiroho. Kanda na CD za Muziki. Emmaus Shule ya Biblia. Masomo Bunifu ya Biblia. Ministry of Faith Comes By Hearing (Swahili MP3 Bible). The Lutheran Radio Centre in Tanzania. RHM ni kitengo cha Habari Maalum Media, kinachohusika na Vipindi vya Redio vinavyoandaliwa hapa RHM. Tangu RHM ilipoanzishwa mwaka 1974 imekuwa ikiandaa vipindi mbali mbali vya redio vinavyohusiana na maisha ya kikristo na maisha tunayoishi ya kila siku. Bridgeway is operated by a...
klb-publishers.org
Maduka ya Vitabu / Bookshops
http://www.klb-publishers.org/klb_downloads.html
Mfululizo wa Maelezo ya Biblia. Vitabu vya maisha ya kiroho. Kanda na CD za Muziki. Emmaus Shule ya Biblia. Kitabu: Msamaha Wa Dhambi Na Hakikisho La Amani Na Mungu. Kijitabu hiki kilitungwa hasa na mapambo kutoka kwa kile kitabu maarufu Pardon and Assurance cha Wm J. Patton wa Dromara, Co. Down, N.Ireland. Kitabu: Nitawezaje kuingia mbinguni? Watu wengi hulikwepa swali la milele. Twaona hayo hata kwa wale ambao hufikiria hatima yao. Kitabu hiki kina maelezo kama unaweza kuingia mbinguni.
klb-publishers.org
Maduka ya Vitabu / Bookshops
http://www.klb-publishers.org/klb_uuzaji.html
Mfululizo wa Maelezo ya Biblia. Vitabu vya maisha ya kiroho. Kanda na CD za Muziki. Emmaus Shule ya Biblia. Maduka ya Vitabu / Bookshops. POBox 2696, Arusha. Phone: 255 (0) 27 250 8201. Mobile: 255 (0) 787 312 369. Email: This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. Location: Km 5 kutoka Arusha bus stand, Sakina off Nairobi Road. POBox 11795, Arusha. Phone: 255 (0) 767 288 253. Mobile: 255 (0) 784 288 053. Soma Biblia (Dar es Salaam Branch). Location: Duka...