abdallahmwaipaya.blogspot.com
MWAIPAYA HARAKATI ZA HABARI: MICHEZO
http://abdallahmwaipaya.blogspot.com/p/michezo.html
Subscribe to: Posts (Atom). ANGALIA PICHA ZA AJALI YA BASI LA MACHINGA NA LORI LEO ASUBUHI. DEREVA WA BASI LA MACHINA AKITOLEWA KWENYE BASI HILO BAADA YA KUFARIKI KUTOKANA NA AJALI HIYO UPANDE WA DEREVA ULIVOHARIBIKA MAS. ANGALIA PICHA JINSI YANGA WALIVYOKATA NGEBE ZA WAARABU. YANGA YAITANDIKA AL AHLY BAO 1 - 0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO Kikosi cha Yanga Kikosi cha Al Ahly Mshambuliaji wa. SHUHUDIA BAADHI YA PICHA ZA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA NAIROBI LEO. PICHA ZA VURUGU BUNGENI DODOMA JANA.
swahilivilla.blogspot.com
swahilivilla: Sikiliza Taarifa za Habari za leo Alhamis Aug 13, 2015
http://swahilivilla.blogspot.com/2015/08/sikiliza-taarifa-za-habari-za-leo_13.html
If you need it, we can provide: • USA 24 hours Passport service • Rush and emergency USA passport • Expedited Visa process for U.S. and foreign countries • Document Authentication •Document Legalization.For more information please contact us at: 703-286-7713. DICK SMALLS AUTO MOTIVE WE CAN HANDLE ALL OF YOUR REPAIR AND SERVICE NEEDS INCLUDING CALL US NOW! 301) 931-3300. 10111B BACOCON DRIVE,BELTSVILLE,MD 20705. Thursday, August 13, 2015. Sikiliza Taarifa za Habari za leo Alhamis Aug 13, 2015. Receive all...
itv.co.tz
itv » shows
http://www.itv.co.tz/shows
Monday, 15th August 2016. You are not logged in. Login. SHERIA YA LESENI YA BIASHARA. Sham Sham Za Pwani. Sham Sham Za Pwani. Kuongeza vituo vya matibabu ya waathirika wa dawa za kulevya. Je, ni suluhisho la kudumu la tatizo hilo?
itv.co.tz
itv » shows » dakika~45
http://www.itv.co.tz/shows/dakika~45
Thursday, 25th August 2016. You are not logged in. Login. Ni kipindi kinachoelezea mafanikio na changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi na mikakati inayofanywa na Serikali pamoja na idara husika katika kuyatatua. Warioba ameongea na Dakika 45 kuhusu mchakato wa katiba mpyana hii ni sehemu ya pili. Hii ni sehemu ya pili ya kipindi cha DAKIKA 45 ambapo mtangazaji wenu Emmanuel Buhohela ameongea Read More. Hotuba ya Jaji Warioba katika kipindi cha Dakika 45. Kipindi cha Dakika 45. Sham Sham Za Pwani.
itv.co.tz
:: Katibu Mwenezi Wa Chadema Achukua Fomu Kugombea Ubunge Kupitia Actwazalendo
http://www.itv.co.tz/news/local/1669-21695/Katibu_mwenezi_wa_Chadema_achukua_fomu_kugombea_ubunge_kupitia_ACTwazalendo.html
Saturday, 27th August 2016. You are not logged in. Login. Katibu mwenezi wa Chadema achukua fomu kugombea ubunge kupitia ACT-wazalendo. Aliyelkuwa katibu mwenezi wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema katika wilayaya Butiama Bw Richard Choge Magori amekihama chama hicho kisha kuijunga na chama cha ACT wazalendo kabla ya kuteuliwa kwa ajili ya kugombea ubunge katika jimbo jipya la Butiama mkoani Mara. You are not logged in. Login. Be the first to comment. Sham Sham Za Pwani.
itv.co.tz
:: Watu Kutoka Faimilia Masikini Wakabiliwa Na Njaa Watumia Fedha Za Tasaf Monduli
http://www.itv.co.tz/news/local/1669-21573/Watu_kutoka_faimilia_masikini_wakabiliwa_na_njaa_watumia_fedha_za_TASAF_Monduli.html
Saturday, 27th August 2016. You are not logged in. Login. Watu kutoka faimilia masikini wakabiliwa na njaa watumia fedha za TASAF, Monduli. Watu kutoka familia masikini waliyo patiwa fedha za kupungumza ukali wa maisha kutoka TASAF katika wilaya ya Monduli wamesema wamelazimika kutumia fedha hizo kwa kununua chakula kwakuwa wanakabiliwa na njaa kali iliyo sababishwa na ukame unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi hivyo hawawezi kutumia fedha hizo kuanzisha miradi wakati wanakabiliwa na njaa.
itv.co.tz
:: Katibu Mkuu Wa Cuf Amesema Umoja Na Mshikamano Ndiyo Utakaoleta Ushindi Wa Kishindo Ndani Ya Ukawa
http://www.itv.co.tz/news/local/1669-21689/Katibu_mkuu_wa_CUF_amesema_umoja_na_mshikamano_ndiyo_utakaoleta_ushindi_wa_kishindo_ndani_ya_UKAWA.html
Saturday, 27th August 2016. You are not logged in. Login. Katibu mkuu wa CUF amesema umoja na mshikamano ndiyo utakaoleta ushindi wa kishindo ndani ya UKAWA. Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF maalim Seif Sharif Hamad amesema umoja na mshikamano ndiyo utakaoleta ushindi wa kishindo ndani ya UKAWA hapo mwezi Octoba mwaka huu na kwamba hakuna mabadiliko yoyote yasiyokuwa na misuko suko hivyo amewataka wanachama wa CUF na wananchi kuwa watulivu kwani ukawa bado ni moja. Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman M...
itv.co.tz
:: Wagombea Ubunge Katika Maeneo Mbalimbali Hapa Nchini Kulalamikia Mchakato Wa Kura Za Maoni
http://www.itv.co.tz/news/local/1669-21637/Wagombea_ubunge_katika_maeneo_mbalimbali_hapa_nchini_kulalamikia_mchakato_wa_kura_za_maoni.html
Saturday, 27th August 2016. You are not logged in. Login. Wagombea ubunge katika maeneo mbalimbali hapa nchini kulalamikia mchakato wa kura za maoni . Sakata la baadhi ya wagombea ubunge katika maeneo mbalimbali hapa nchini kulalamikia mchakato wa kura za maoni kwa madai ya kutotendewa haki na kukiuka kanuni za uchaguzi limeendelea kutikisa. Katibu wa CCM Wilaya ya Namtumbo ambaye pia ni Mkurugenzi wa uchaguzi wa wilaya hiyo, Bwana ABDULAZIZ MOHAMED anasema hizo ni propaganda za wagombea na kwamba marudi...
itv.co.tz
:: Waziri Mkuu Mhpinda Ataka Kilimo Kibebe Uchumi Wa Nchi Na Wakulima Wadogo
http://www.itv.co.tz/news/local/1669-21686/Waziri_mkuu_MhPinda_ataka_kilimo_kibebe_uchumi_wa_nchi_na__wakulima_wadogo.html
Saturday, 27th August 2016. You are not logged in. Login. Waziri mkuu Mh.Pinda ataka kilimo kibebe uchumi wa nchi na wakulima wadogo. Kwa upande wao mtandao wa vikundi vya wakulima nchini mviwata wamesema sekta ya kilimo bado inakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wawekezaji wakubwa inayosababishwa ugawaji ardhi kiholela, migogoro baina ya wakulima na wafugaji pamoja na ukosefu wa masoko ya uhakika ya mazao huku wakitoa angalizo kuhusu ubora wa pembejeo zinazopatik...
SOCIAL ENGAGEMENT