samatym.blogspot.com
Samatime: CHADEMA WAMPOKEA LOWASSA
http://samatym.blogspot.com/2015/07/chadema-wampokea-lowassa.html
Friday, July 17, 2015. Mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa (ndani ya gari) akilakiwa na makada wa CHADEMA alipowasili mkoani Arusha juzi jumatano. Baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba Lowassa angeenda kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kijijini kwake, Ngarash, Monduli ndipo wanachama hao wa chama hicho kikuu cha upinzani walipokusanyika barabarani wakimsubiri. Hata hivyo, Lowassa ambaye hakutaka kuzungumza chochote huku akionekana mwenye hu...
samatym.blogspot.com
Samatime: GARDEN YAGEUZWA SEHEMU YA KUFANYIA MAPENZI MITI NDO VITANDA
http://samatym.blogspot.com/2012/10/garden-yageuzwa-sehemu-ya-kufanyia.html
Wednesday, October 17, 2012. GARDEN YAGEUZWA SEHEMU YA KUFANYIA MAPENZI MITI NDO VITANDA. Hakika huu ndo mwisho wa dunia.Huu ni uchafu ambao hufanyika katika Garden moja ijulikano kwa jina la Murilo. Ni kitovu cha uchafu, laana, maasi na dhambi zooooooote unazozijua hapa duniani. Hiyo ni kambi ya Vigogo,wanasiasa na wasanii mbali mbali toka Tanzania, Kenya na Uganda. Kahaba ni kahaba tu.Malaya ni malaya tu. Hakika wanadamu tumeasi.Iko haja ya kumrudia mwenyezi mungu. Kitovu cha uchafu huo kipo Kenya.
samatym.blogspot.com
Samatime: Millard Ayo Akiwa Barabarani South Africa kutokea Johannesburg mpaka Durban
http://samatym.blogspot.com/2015/07/millard-ayo-akiwa-barabarani-south.html
Friday, July 17, 2015. Millard Ayo Akiwa Barabarani South Africa kutokea Johannesburg mpaka Durban. July 16 nilikuwa nikitokea Johannesburg kuelekea Durban ambako ndio utoaji wa tuzo za kituo cha TV MTV Base Mama2015 zinatarajiwa kufanyika wiki hii ambazo zinawaniwa na watanzania wawili ni Diamond Platnumz na Vanessa Mdee. Hapa nimekuwekea picha kadhaa za barabarani kutoka Johannesburg mpaka Durban. Love to hear what you think! Facebook Comment For Blogger]. Posted by Sabato manyama. Follow Me On Twitter.
samatym.blogspot.com
Samatime: MSIMU WA TANO WA AIRTEL RISING STARS WAZINDULIWA LEO
http://samatym.blogspot.com/2015/06/msimu-wa-tano-wa-airtel-rising-stars.html
Wednesday, June 17, 2015. MSIMU WA TANO WA AIRTEL RISING STARS WAZINDULIWA LEO. Mkurugenzi wa Idara ya Michezo katika Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Leonard Thadeo akipiga mpira kuashiria kuzinduliwa kwa michuano hiyo. Wachezaji walioibuliwa kwenye michuano hiyo ambao kwa sasa wapo na kikosi cha timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, kutoka kushoto ni Sherida Boniface, Stumai Abdallah, Anastazia Anthony, Donisia Daniel, Maimuna Hamis, Najihath Abas, Neema Paul na Amina Ally. Michuano ya m...
samatym.blogspot.com
Samatime: PICHA ZA KUCHEKESHA ANGALIA HAPA
http://samatym.blogspot.com/2014/02/picha-za-kuchekesha-angalia-hapa.html
Sunday, February 23, 2014. PICHA ZA KUCHEKESHA ANGALIA HAPA. Love to hear what you think! Facebook Comment For Blogger]. Posted by Sabato manyama. Don't forget to join our community! SHOW UR SUPPORT BY HITT LIKE HERE. Follow Me On Twitter. Follow Me On Instagram. AIBU: WANAWAKE WAFANYA MAPENZI KAMA KUKU NA HUYU NDO MWANAUME ANAYEWAFANYIA HIVYO NDANI YA JUMBA LAKE LA KIFAHARI. Mwanaume anayejulikana kwa jina la Peter Rupia amekuwa na tabia chafu ya kuwafanyisha mapenzi wanawake mithili ya wanyama ndani ya.
samatym.blogspot.com
Samatime: KUTOKA KWA MADIBA AFRIKA KUSINI VIDEO YA NGONO YA AGNESS MASOGANGE HII HAPA...!
http://samatym.blogspot.com/2013/11/kutoka-kwa-madiba-afrika-kusini-video.html
Wednesday, November 6, 2013. KUTOKA KWA MADIBA AFRIKA KUSINI VIDEO YA NGONO YA AGNESS MASOGANGE HII HAPA! Maelezo mengi sio issue sana, Agness Masogange ni mdada anayefahamika sana Tanzania kwa sasa na hasa kutokana na ile skendo yake ya kukamatwa na madawa huko nchini Afrika ya kusini kwa mzee Madiba. Video hizi zipo mbili ila tafadhali adhali kama ni kwa WAKUBWA TU. BOFYA HAPA KUCHEKI VIDEO HIZO. Love to hear what you think! Facebook Comment For Blogger]. Posted by Sabato manyama. Follow Me On Twitter.
samatym.blogspot.com
Samatime: PICHA ZA MASTAA WALIOMZIKA SHARO MILIONEA
http://samatym.blogspot.com/2012/11/picha-za-mastaa-waliomzika-sharo.html
Thursday, November 29, 2012. PICHA ZA MASTAA WALIOMZIKA SHARO MILIONEA. Wema Sepetu (kulia) na Jack wa Chuz wakishiriki mazishi ya marehemu Hussein Ramadhan Mkieti 'Sharo Milionea'. Yusuf Mlela (kulia) na Sajuki nao wakishiriki mazishi ya Sharo Milionea wilayani Muheza mkoani Tanga jana.…. Wema Sepetu (kulia) na Jack wa Chuz wakishiriki mazishi ya marehemu Hussein Ramadhan Mkieti 'Sharo Milionea'. Yusuf Mlela (kulia) na Sajuki nao wakishiriki mazishi ya Sharo Milionea wilayani Muheza mkoani Tanga jana.
samatym.blogspot.com
Samatime: MAGAZETI TAREHE 7/17/15
http://samatym.blogspot.com/2015/07/magazeti-tarehe-71715.html
Friday, July 17, 2015. Wakati mchakato wa kumtafuta mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM ukiwa umekamilika, ni dhahiri kwamba baadhi ya vigogo waliokuwa na matumaini makubwa ya kuukwaa, sasa wanaugulia maumivu huku wengine wakiwa wameshautangazia umma kutoendelea na ubunge. Licha ya kuwa siasa ni pata potea, kwa wanasiasa vijana huenda mchakato huo ukawa ni mwanzo wa safari ya kuelekea kwenye kilele cha mafanikio na kwa baadhi ya vigogo huenda ukawa ndiyo mwanzo wa kuelekea kustaafu siasa. Alipohojiwa na M...
samatym.blogspot.com
Samatime: WEMA AACHA MAKALIO NJEE
http://samatym.blogspot.com/2012/09/wema-aacha-makalio-njee.html
Tuesday, September 18, 2012. WEMA AACHA MAKALIO NJEE. Huyu ni Anti Ezekiel. Huyu ni Wema Sepetu. MAKALIO YA WEMA SEPETU YAKIWA NJE TENA. MSANII wa filamu bongo asiyeishiwa vituko Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatarajia kwenda nchini Nigeria kwa ajili ya kucheza filamu moja na rafiki yake aliyewahi kumleta nchini Omotola, sasa hana tena dili la kushiriki filamu moja na mwanadada huyo kwa kile kinachodaiwa kuwa na tabia ya kujiskia sana. Hapa ndipo Wema Sepetu alipoanika makalio yake tena. 8220;Kun...
SOCIAL ENGAGEMENT