fastnewstz-sports.blogspot.com
fastNEWStz: HATIMAYE NGASA ATINGA UZI WA MSIMBAZI
http://fastnewstz-sports.blogspot.com/2012/08/hatimaye-ngasa-atinga-uzi-wa-msimbazi.html
Friday, August 3, 2012. HATIMAYE NGASA ATINGA UZI WA MSIMBAZI. Mrisho Ngasa baada ya mazoezi. Hatimaye yametimia. Mrisho Ngassa tayari ameshajiunga rasmi na kambi ya timu ya Simba na kukabidhiwa uzi mwekundu huku namba yake nyuma ya jezi ikisomeka 16. Leo ameanza amehudhuria mazoezi ya timu hiyo kwa mara ya kwanza katika ufukwe wa coco beach na pia ametambulishwa rasmi makao makuu ya Klabu hiyo ikiwa ni pamoja na kukabidhiwa mchuma mpya. Subscribe to: Post Comments (Atom). TEMBELEA PIA BLOG HIZI.
fastnewstz-sports.blogspot.com
fastNEWStz: NGASA ATAKIWA KUJITUMA KUONYESHA KUWA YEYE NI BORA
http://fastnewstz-sports.blogspot.com/2012/08/ngasa-atakiwa-kujituma-kuonyesha-kuwa.html
Saturday, August 4, 2012. NGASA ATAKIWA KUJITUMA KUONYESHA KUWA YEYE NI BORA. Mrisho Ngasa akifika Coco Beach kwa ajili ya mazoezi na timu yake mpya. Kocha msaidizi wa klabu ya soka ya simba ya jijini dar es saam ambao ni mabingwa wa ligi kuu soka tanzania bara richard amatre amemtaka mchezaji mpya wa timu hiyo waliyemsajili kutoka kutoka klabu ya Azam FC Mrisho Khalifani Ngasa kujituma na kudhihirisha kwamba yeye ni bora. Subscribe to: Post Comments (Atom). TEMBELEA PIA BLOG HIZI. WANA YANGA WALIVYOJITO...
fastnewstz-sports.blogspot.com
fastNEWStz: MATARAJIO YA WATANZANIA OLYMPIC 2012
http://fastnewstz-sports.blogspot.com/2012/07/matarajio-ya-watanzania-olympic-2012.html
Saturday, July 28, 2012. MATARAJIO YA WATANZANIA OLYMPIC 2012. Washiriki wa Olympic kutoka Tanzania. Baadhi ya waandishi waandamizi wa habari wa michezo nchini wameoenyesha wasiwasi wa kufanya vema kwa wanamichezo kutoka nchini wanaoshiriki michuano ya olimpiki inayoendelea jijini London kutokana na maandalizi yasiyokuwa endelevu kwa wanamichezo mbalimbali. Tanzania ni miongoni mwa nchi 204 zinazoshiriki mashindano hayo makubwa zaidi dunuiani katika michezo ya Ngumi Kuogelea na Riadha. MAJALIWA AITEMBELE...
fastnewstz-sports.blogspot.com
fastNEWStz: MCHUMIA TUMBO AJITOKEZA KUPAMBANA NA AWADHI TAMIMU
http://fastnewstz-sports.blogspot.com/2012/07/mchumia-tumbo-ajitokeza-kupambana-na.html
Friday, July 27, 2012. MCHUMIA TUMBO AJITOKEZA KUPAMBANA NA AWADHI TAMIMU. Bingwa wa ngumi za kulipwa za uzito wa juu hapa nchini Alfonce Mchumia Tumbo amesema yupo tayari kupambana na Awadhi Tamimu muda wowote na sehemu yeyote endapo atatokea promota wa kuandaa pambano hilo. Bondia huyo anayeinukia hivi sasa katika masumbwi ameibuka na tambo hizo baada ya. Tetesi kuwa Tamimu amekosa mpinzani wa kupambana nae ili kutetea mikanda anayoishikilia. Bondia mwenye uwezo wa kupanda nae ulingoni. WANA YANGA WALI...
fastnewstz.blogspot.com
fastNEWStz: Taarifa Kwa Umma
http://fastnewstz.blogspot.com/p/taarifa-kwa-umma.html
HOTUBA YA RAIS KIKWETE YA KUHAMASISHA SENSA AGOST 25. Mjerumani au wanajisusia wenyewe? Hivi kweli mtu uko tayari kuacha manufaa yako ya maendeleo yapotee au yaathirike kwa sababu ya mjusi ambaye hata akirejeshwa huna manufaa ya moja kwa moja? Hasara anapata nani sisi au wao? Niliwaambia pia kuwa kuelekeza lawama kwa Serikali kwa ajili ya taarifa hizo ni kuionea na kutoitendea haki. Vile vile kuibebesha dhima ya kuongeza swali la dini ili kuyajibu mashirika hayo ni kuipa mzigo usiostahili. Napend...Sera ...
fastnewstz.blogspot.com
fastNEWStz: Tangaza Hapa
http://fastnewstz.blogspot.com/p/tangaza-hapa.html
255 713 278 741. Subscribe to: Posts (Atom). There was an error in this gadget. TEMBELEA PIA BLOG HIZI. MAN CITY 1-0 STEAUA BUCURESTI. DON'T MISS THIS OUT! Makundi yanayoongoza kudunga wanafunzi. Kwa takribani miaka yote makundi yanayotajwa kuwadunga wanafunzi mimba ni pamoja na Bodaboda, Walimu na Maaskari. Mwaka huu 2016 mwezi march Walimu watano. Test Post from Sellers Blog. Test Post from Sellers Blog http:/ www.seladup.com. MICHUANO YA SUPER 8 KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO. Africa: The Aid and Internatio...
fastnewstz.blogspot.com
fastNEWStz: Africa: Nespresso celebrates the opening of the Senegalese market by launching its first Boutique in the centre of Dakar
http://fastnewstz.blogspot.com/2015/06/africa-nespresso-celebrates-opening-of.html
Thursday, June 4, 2015. Africa: Nespresso celebrates the opening of the Senegalese market by launching its first Boutique in the centre of Dakar. Forwarded message - - - - -. From: News Release - African Press Organization (APO) no-reply@apo-opa.com. Date: 4 Jun 2015 18:48. Subject: Africa: Nespresso celebrates the opening of the Senegalese market by launching its first Boutique in the centre of Dakar. To: News Release - African Press Organization (APO) no-reply@apo-opa.com. And can be republished at will.
fastnewstz.blogspot.com
fastNEWStz: Airbnb Plans to Expand Further Across African Continent
http://fastnewstz.blogspot.com/2015/07/airbnb-plans-to-expand-further-across.html
Saturday, July 25, 2015. Airbnb Plans to Expand Further Across African Continent. Airbnb Plans to Expand Further Across African Continent. In the last twelve months alone, Airbnb has more than doubled in size in Africa. 160; Airbnb CEO Brian Chesky Attends Global Entrepreneurial Summit in Nairobi with Presidents Obama and Kenyatta. NAIROBI, Kenya, July 25, 2015/ - Airbnb ( https:/ www.airbnb.com. Logo: http:/ www.photos.apo-opa.com/plog-content/images/apo/logos/airbnb.png. The spirit of entrepreneur...
fastnewstz.blogspot.com
fastNEWStz: African oil & gas organisations plan for an upturn in the oil price: PwC surveylications
http://fastnewstz.blogspot.com/2015/08/african-oil-gas-organisations-plan-for.html
Thursday, August 6, 2015. African oil and gas organisations plan for an upturn in the oil price: PwC surveylications. African oil and gas organisations plan for an upturn in the oil price: PwC survey. Overall, activity in the oil and gas industry across the African continent has slowed in the wake of the declining oil price in late 2014. JOHANNESBURG, South-Africa, August 5, 2015/African Press Organization (APO)/ -. Logo: http:/ www.photos.apo-opa.com/plog-content/images/apo/logos/pwc.png. People skills ...
fastnewstz.blogspot.com
fastNEWStz: Africa : AIF announces IPA 2016 Call for Applications
http://fastnewstz.blogspot.com/2015/08/africa-aif-announces-ipa-2016-call-for.html
Monday, August 3, 2015. Africa : AIF announces IPA 2016 Call for Applications. Forwarded message - - - - -. From: News Release - APO (African Press Organization) no-reply@africa-wire.com. Date: 3 Aug 2015 10:21. Subject: Africa : AIF announces IPA 2016 Call for Applications. To: News Release - APO (African Press Organization) no-reply@africa-wire.com. If you cannot read that message, click here. And can be republished at will. AIF announces IPA 2016 Call for Applications. ZURICH, Switzerland,. Logo AIF: ...