fredrick-francis.blogspot.com
UFUGAJI BORA WA SAMAKI: UCHAGUZI WA ENEO LINALOFAA KWA AJILI YA KUCHIMBA BWAWA LA SAMAKI.
http://fredrick-francis.blogspot.com/2013/06/uchaguzi-wa-eneo-linalofaa-kwa-ajili-ya.html
UFUGAJI BORA WA SAMAKI. Jumamosi, 29 Juni 2013. UCHAGUZI WA ENEO LINALOFAA KWA AJILI YA KUCHIMBA BWAWA LA SAMAKI. Ni jambo muhimu sana kuchagua eneo zuri ili kurahisisha na kufanikisha kwa urahisi kazi ya kufuga samaki. Si kila eneo la ardhi hufaa kwa kazi ya kufuga samaki. Eneo zuri kwa ufugaji samaki ni eneo lenye maji ya kutosha na ya kuaminika, udongo unaotuamisha maji (mfinyanzi), ikiwezekana pawepo mtelemko wa kiasi. Mteremko ni vema usiwe mkali sana, ila uwezeshe maji kutiririka kuingia na kutoka ...
fredrick-francis.blogspot.com
UFUGAJI BORA WA SAMAKI: Ufugaji Mseto wa Sato na Kambale
http://fredrick-francis.blogspot.com/2015/06/ufugaji-mseto-wa-sato-na-kambale.html
UFUGAJI BORA WA SAMAKI. Alhamisi, 11 Juni 2015. Ufugaji Mseto wa Sato na Kambale. Olyculture ni uzalishaji wa samaki aina mbili au zaidi ndani ya mazingira ya maji. Kwa kawaida polyculture hutokea katika mabwawa. Samaki aina ya kambare na sato wanaweza kutumika. Aina hizi za samaki zinafaa na huleta mafanikio mazuri. Aidha vigezo vya kuchagua samaki kwa ajili. Ya polyculture ni hivi hapa chini;. Kiwango cha juu ukuaji wa aina ya samaki;. Samaki wanaohitajika kwa wingi katika masoko;. Mashindano katika ku...
fredrick-francis.blogspot.com
UFUGAJI BORA WA SAMAKI: Matunzo, uvunaji wa samaki na zana ziazotumika kuvulia samaki
http://fredrick-francis.blogspot.com/2013/06/matunzo-uvunaji-wa-samaki-na-zana.html
UFUGAJI BORA WA SAMAKI. Jumapili, 30 Juni 2013. Matunzo, uvunaji wa samaki na zana ziazotumika kuvulia samaki. MATUNZO YA SAMAKI BWAWANI. Ili bwawa liweze kutoa samaki wazuri muda wote yafaa bwawa la samaki lihudumiwe kwa kufuata. Angalia samaki wanavyoogelea na kula wakati unapowalisha. Kama hawana matatizo, watajitokeza juu kwa wingi na kula vizuri kwa furaha. Ondoa magugu na mimea katika bwawa. Fyeka majani kando kando ya bwawa. Angalia rangi ya maji ili ujue kama unahitaji kuongeza mbolea. Samaki wan...
fredrick-francis.blogspot.com
UFUGAJI BORA WA SAMAKI: Vifaranga vya kambale
http://fredrick-francis.blogspot.com/2015/05/vifaranga-vya-kambale.html
UFUGAJI BORA WA SAMAKI. Alhamisi, 28 Mei 2015. Kwa wale wanao hitaji vifaranga vya kambale tuwasiliane kwa maelekezo zaidi. fredrick232@gmail.com. Posted by Fredrick Francis. Tuma Hii kwa Barua pepe. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom). Jumuika na wengine kupitia hapa. Tafuta katika Blogu Hii. Ufugaji bora wa samaki. Ufugaji bora wa samaki. UCHAGUZI WA ENEO LINALOFAA KWA AJILI YA KUCHIMBA BWAWA LA SAMAKI. UNAWEZAJE KUTENGENEZA BWAWA LA KUFUGIA SAMAKI? UZALISHAJI WA VIFARANGA VYA SAMAKI KIBIASHARA.
fredrick-francis.blogspot.com
UFUGAJI BORA WA SAMAKI: UFUGAJI WA PEREGE
http://fredrick-francis.blogspot.com/2013/06/ufugaji-wa-perege.html
UFUGAJI BORA WA SAMAKI. Jumamosi, 29 Juni 2013. Ufugaji samaki ni kazi ya kupanda, kukuza na kutunza samaki katika mabwawa au uzio (uliotengenezwa kwa vyuma, nyavu. Au miti) au eneo lolote ambalo udhibiti wake yako chini ya mamlaka ya mfugaji mwenyewe. Mabwawa yaweza kuwa ni ya. Kuchimbwa na watu (japokuwa ya asili pia huweza kutumika) wakati uzo inaweza ikawa imewekwa katika eneo lolote. Lililo na maji kama ziwa na hata bahari. Mavuno kutokuwa mazuri. Kwa miaka ya karibuni, serikali imetilia mkazo u...
fredrick-francis.blogspot.com
UFUGAJI BORA WA SAMAKI
http://fredrick-francis.blogspot.com/2014/09/vifaranga-vya-samaki-aina-ya-sato-sasa.html
UFUGAJI BORA WA SAMAKI. Jumapili, 14 Septemba 2014. Vifaranga vya samaki aina ya Sato sasa wanapatikana, karibuni wote. Posted by Fredrick Francis. Tuma Hii kwa Barua pepe. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom). Jumuika na wengine kupitia hapa. Tafuta katika Blogu Hii. Ufugaji bora wa samaki. Ufugaji bora wa samaki. UCHAGUZI WA ENEO LINALOFAA KWA AJILI YA KUCHIMBA BWAWA LA SAMAKI. UNAWEZAJE KUTENGENEZA BWAWA LA KUFUGIA SAMAKI? UZALISHAJI WA VIFARANGA VYA SAMAKI KIBIASHARA. P olyculture ni uzalishaji wa ...
fredrick-francis.blogspot.com
UFUGAJI BORA WA SAMAKI: KUZALIANA KWA WINGI NDANI YA BWAWA NA NJIA ZA KUDHIBITI
http://fredrick-francis.blogspot.com/2013/06/kuzaliana-kwa-wingi-ndani-ya-bwawa-na.html
UFUGAJI BORA WA SAMAKI. Jumapili, 30 Juni 2013. KUZALIANA KWA WINGI NDANI YA BWAWA NA NJIA ZA KUDHIBITI. Kuwepo kwa samaki wengi kuliko idadi inayotakiwa ndani ya bwawa (overpopulation in ponds). Kwa kawaida, samaki jamii ya perege wako katika makundi mawili kutegemeana na wanavyo tunza mayai/watoto wao wakati wa kuzaliana. Perege jamii ya Oreochromis. Hutaga kwenye viota lakini hutunza mayai/vifaranga vyao midomoni kwa ajili ya kuyalinda dhidi ya maadui. Perege wa jamii ya T. rendalli. Njia za kuweza ku...
fredrick-francis.blogspot.com
UFUGAJI BORA WA SAMAKI: URUTUBISHAJI WA BWAWA LA SAMAKI KWA MBOLEA NA (MAJIVU) PAMOJA NA USAFIRISHAJI WA VIFARANGA WA SAMAKI.
http://fredrick-francis.blogspot.com/2013/06/urutubishaji-wa-bwawa-la-samaki-kwa_30.html
UFUGAJI BORA WA SAMAKI. Jumapili, 30 Juni 2013. URUTUBISHAJI WA BWAWA LA SAMAKI KWA MBOLEA NA (MAJIVU) PAMOJA NA USAFIRISHAJI WA VIFARANGA WA SAMAKI. Kutegemea aina ya udongo, majivu ya moto huweza kutawanywa bwawani kabla ya kuingiza maji ili kupunguza Tindikali ya udongo na kuua baadhi ya wadudu walio maadui wa samaki waliopo katika eneo la bwawa. Mbolea huweza kutawanywa bwawani kabla ya kuweka maji ili kusaidia kujenga mazingira ya maji kutuama (yaani Kushikamanisha udongo). Kiasi cha kuweka mbolea h...
fredrick-francis.blogspot.com
UFUGAJI BORA WA SAMAKI: Namna ya kutekeleza uzalishaji wa vifaranga bora
http://fredrick-francis.blogspot.com/2013/06/namna-ya-kutekeleza-uzalishaji-wa.html
UFUGAJI BORA WA SAMAKI. Jumapili, 30 Juni 2013. Namna ya kutekeleza uzalishaji wa vifaranga bora. Chagua samaki wazazi wazuri kulingana na umbile lao kama rangi, ukubwa, afya na sura zao. Samaki hawa watengwe na wale wasio na sifa hizo na wasiruhusiwe kuzaliana nao. Mfugaji anaweza kununua wazazi hawa kutoka katika chanzo kinachofahamika kuwa kina samaki bora. Endelea kuwatumia wazazi hawa kila unapohitaji vifaranga kutegemeana na jinsi wanavyoendelea kuzaa vifaranga bora. Pamoja na ubora wa wazazi h...
fredrick-francis.blogspot.com
UFUGAJI BORA WA SAMAKI: UHIFADHI WA MBEGU KWA AJILI YA MZUNGOKO MWINGINE WA UPANDAJI SAMAKI BWAWANI NA MATATIZO KATIKA UFUGAJI SAMAKI..
http://fredrick-francis.blogspot.com/2013/06/uhifadhi-wa-mbegu-kwa-ajili-ya-mzungoko_30.html
UFUGAJI BORA WA SAMAKI. Jumapili, 30 Juni 2013. UHIFADHI WA MBEGU KWA AJILI YA MZUNGOKO MWINGINE WA UPANDAJI SAMAKI BWAWANI NA MATATIZO KATIKA UFUGAJI SAMAKI. Napovuna samaki, hakikisha kuwa vifaranga au samaki wazazi utakaokuwa umewachagua wanawekwa katika kijibwawa kingine (kinachojulikana kama nursery pond) kabla ya kuwarudisha bwawa la kukuzia (production pond). Ni muhimu kufanyia bwawa matengenezo na kulijaza maji kabla ya kuweka samaki tena. MATATIZO YA UFUGAJI SAMAKI. Maelekezo ya ujengaji na utun...