emateru.blogspot.com
HALMASHAURI KUU YA CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA WAKE WA UBUNGE - MATERUNI BLOG
http://emateru.blogspot.com/2015/08/halmashauri-kuu-ya-ccm-yatangaza-majina.html
HALMASHAURI KUU YA CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA WAKE WA UBUNGE. HALMASHAURI KUU YA CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA WAKE WA UBUNGE. Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo imetangaza majina ya wagombea ubunge, ubunge viti maalum, uwakilishi na uwakilishi viti maalum ambapo baadhi ya wagombea walioshinda kwenye kura za maoni wametupwa nje na kuchukuliwa mshindi wa tatu. Share on Google Plus. HALMASHAURI KUU YA CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA WAKE WA UBUNGE. Reviewed by Elikunda Materu. 160;&...
annapita.com
NGOMA MPYA YA DAIMOND ~ AnnaPeter
http://www.annapita.com/2012/10/ngoma-mpya-ya-daimond.html
Monday, October 29, 2012. NGOMA MPYA YA DAIMOND. Ndo Ngoma ambayo msanii Daimond ameiachia inaiwa 'Nataka Kulewa', Imefanyika kwa Maneke ISIKILIZE. Hapo chini halafu utoe maoni yako. October 29, 2012 at 6:18 PM. View my complete profile. PICHA ZA WATOTO WA WATU MAARUFU HAPA BONGO KAMA MWANAFA,MADEE, BARNABA,MIKE T, ALLAN LUCKY,GELLY NA SHILOLE. Huyu ni mtoto wa Allan Lucky wa Skonga EATV, anaitwa Brooklyn. Huyo ni mtoto wa Raisi wa Manzese,Madee anaitwa Sophy. Madee na . KILIMO KINALIPA - MAKALA.
annapita.com
PICHA ZA WATOTO WA WATU MAARUFU HAPA BONGO KAMA MWANAFA,MADEE, BARNABA,MIKE T, ALLAN LUCKY,GELLY NA SHILOLE ~ AnnaPeter
http://www.annapita.com/2012/10/picha-za-watoto-wa-watu-maarufu-hapa.html
Tuesday, October 9, 2012. PICHA ZA WATOTO WA WATU MAARUFU HAPA BONGO KAMA MWANAFA,MADEE, BARNABA,MIKE T, ALLAN LUCKY,GELLY NA SHILOLE. Huyu ni mtoto wa Allan Lucky wa Skonga EATV, anaitwa Brooklyn. Huyo ni mtoto wa Raisi wa Manzese,Madee anaitwa Sophy. Cheki smile hiyoo,ni Malika wa Mwanafa. Anaitwa Michele wa Mike T. Gelly wa Rhymes na Mwanae anayeenda kwa jina la Queen. Mtoto wa Barnaba huyo anaitwa Steve. Anaitwa Joyce mtoto wake Shilole. October 9, 2012 at 6:50 PM. February 15, 2014 at 9:30 PM.
annapita.com
September 2014 ~ AnnaPeter
http://www.annapita.com/2014_09_01_archive.html
Music when healthy, is the teacher of perfect order. WE COVER EVERY NETWORK. When words leave off, music begins. The wise musicians are those who play what they can master. Who hears music feels his solitude peopled at once. Welcome to annapita.com. Tuesday, September 30, 2014. MSAMI WA 'SOUNDTRACK' KUTAMBULISHA STAILI MPYA YA UCHEZAJI KWENYE FAINALI YA DANCE100. Moja ya kundi ambalo limefanikiwa kuingia nusu fainali 'The Winners'. REDDS MISS TZ WAPEWA ELIMU YA AFYA UZAZI. Happyness akiwa pia ni balozi w...
annapita.com
November 2013 ~ AnnaPeter
http://www.annapita.com/2013_11_01_archive.html
Music when healthy, is the teacher of perfect order. WE COVER EVERY NETWORK. When words leave off, music begins. The wise musicians are those who play what they can master. Who hears music feels his solitude peopled at once. Welcome to annapita.com. Wednesday, November 27, 2013. NGOMA MPYA: BELLE 9 - WANITAKA. Wanitaka ndio ujio wa ngoma mpya kutoka kwa msanii Belle 9 ambapo ngoma yake ya mwisho kuachia ilikuwa ni Listen ambayo video yake ilifanywa na Director Nisher. Isikilize ngoma hii hapa chini.
annapita.com
December 2013 ~ AnnaPeter
http://www.annapita.com/2013_12_01_archive.html
Music when healthy, is the teacher of perfect order. WE COVER EVERY NETWORK. When words leave off, music begins. The wise musicians are those who play what they can master. Who hears music feels his solitude peopled at once. Welcome to annapita.com. Monday, December 30, 2013. VIDEO MPYA: LIL GHETO FT. BERRY BLACK and SPAX - UMELIKOROGA. Thursday, December 12, 2013. VIDEO: CLIMAX BIBO - UJUZI. Wednesday, December 11, 2013. Tuesday, December 3, 2013. NGOMA MPYA: ABDUKIBA - KABIBI. View my complete profile.
annapita.com
NGOMA MPYA: MSAMI - SOUNDTRACK (SHOLOLO) ~ AnnaPeter
http://www.annapita.com/2014/01/ngoma-mpya-msami-soundtrack-shololo.html
Tuesday, January 28, 2014. NGOMA MPYA: MSAMI - SOUNDTRACK (SHOLOLO). Ni ngoma mpya kabisa inayojulikana kwa jina la Soundtrack au Shololo, ni ya kijana kutoka THT maarufu kama Msami Baby. Isikilize hapa chini. March 27, 2014 at 8:01 PM. AND ALL OF TANZANIA WASANIHII like boots MUHENDELEHE Put badly THANK YOU THROW THINGS. View my complete profile. PICHA ZA WATOTO WA WATU MAARUFU HAPA BONGO KAMA MWANAFA,MADEE, BARNABA,MIKE T, ALLAN LUCKY,GELLY NA SHILOLE. KILIMO KINALIPA - MAKALA. Design by Materu Ideas.
annapita.com
MANWATER AZUNGUMZA KUHUSU PESA WANAZOLIPWA NA WASANII ~ AnnaPeter
http://www.annapita.com/2015/01/manwater-azungumza-kuhusu-pesa.html
Thursday, January 22, 2015. MANWATER AZUNGUMZA KUHUSU PESA WANAZOLIPWA NA WASANII. Mtayarishaji wa muziki kutoka studio za Combination Sound Manwater amesema waliyonayo maproduza wengi hapa Tanzania halingani kabisa na kazi wanazofanya.Produza huyo anasifika kwa kutengeneza nyimbo kama Mwana ya Alikiba, Nani kama Mama ya Christian Bella,Tupogo remix ya Ommy Dimpoz na nyingine nyingi. Produza huyo anasema yeye kwasasa anachaji shilingi milioni 1 kwa wimbo mmoja lakini kiasi hicho cha pesa kinaweza kuongez...
annapita.com
SHAA ATOA USHAURI KWA WASANII WAKIKE ~ AnnaPeter
http://www.annapita.com/2015/01/shaa-atoa-ushauri-kwa-wasanii-wakike.html
Thursday, January 22, 2015. SHAA ATOA USHAURI KWA WASANII WAKIKE. Sarah Kaisi maarufu kama Shaa amesema kuwa wasanii wakike Tanzania inabidi wachukulie muziki kama kazi ili waweze kufata mafanikio zaidi. Msanii huyo ambaye mwaka jana alifanya vizuri na wimbo wa 'Subira' 'Njoo' ambayo alifanya colabo yake ya kwanza na msanii mkubwa wa Kenya Redsan alisema kuwa mwaka. Pelangsing wsc biolo asli. December 17, 2015 at 5:50 AM. December 17, 2015 at 5:52 AM. Te ngarti bahasana euy. June 30, 2016 at 7:21 PM.
annapita.com
KILIMO KINALIPA - MAKALA ~ AnnaPeter
http://www.annapita.com/2015/01/kilimo-kinalipa-makala.html
Thursday, January 22, 2015. KILIMO KINALIPA - MAKALA. Niko mtaa ambao ni maarufu kama mtaa wa Anna Makinda eneo ambalo Mh Spika wa Tanzania Anna Makinda anaishi,Kijitonyama Mabatini Polisi .Ni eneo ambalo nimekutana na mama ambaye kipato chake ni kuanzia laki 4 hadi 8 kwa mwezi kutokana na kilimo cha mbogamboga.Hakika ’kilimo kinalipa’. Mama Abdul ni moja ya wateja wake ambaye wakati nafanya mahojiano na Monica alikuja kununua mboga.Mteja huyo alisema anapenda kununua mboga hapo kwa sababu anajua zin...
SOCIAL ENGAGEMENT