hans4real.blogspot.com
Anselm: Kambi ya Makapera yapata pigo
http://hans4real.blogspot.com/2011/04/kambi-ya-makapera-yapata-pigo.html
It's all about me,myself and I. Monday, April 18, 2011. Kambi ya Makapera yapata pigo. Ijumaa ya tarehe 15/04/2011 Kambi ya makapera ilipata pigo kubwa baada ya Mdau wake maarufu na wa siku nyingi Khatibu Mackenga kufunga pingu za maisha na Bi Fatma Ally nyumbani kwa Wazazi wa Bi Harusi huko Mbezi kwa Msuguri na kufuatiwa na bonge moja la M'sherehe uliofanyika katika ukumbi wa Briged Mess Lugalo jeshini siku ya tarehe 16/04/2011. Bwana harusi aki'speed up tukio la kuanguka signature katika cheti cha ndoa.
hans4real.blogspot.com
Anselm: August 2010
http://hans4real.blogspot.com/2010_08_01_archive.html
It's all about me,myself and I. Wednesday, August 18, 2010. Simba kwisha habari yao! Simba kwisha habari yao,hivi ndivyo ninavyoweza kusema. Team ya Simba hatimaye jana imekubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Vijana wa mitaa ya Twiga na Jangwani Dar-es-salaam Young Africans katika mchezo wa kugombania ngao ya hisani uliofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar-es-salaam. Wakati kwa upande wa Simba Mohamed Banka ndiye pekee aliyepata penalt,huku penalt ya Emanuel Okwi ilipanguliwa kiufundi na Kipa wa ...
hans4real.blogspot.com
Anselm: November 2010
http://hans4real.blogspot.com/2010_11_01_archive.html
It's all about me,myself and I. Sunday, November 7, 2010. Huyu aliingia kwenye 18 za wale wanaoitwa ma'vehicle inspectors. Huyu alifumwa na Camera yetu akikata mitaa hata wasiwasi hana. Hongera Dk Jakaya Mrisho Kikwete. Rais JK akiupungia mkono umati uliofurika uwanjani wa Uhuru juzi Jumamosi wakati akiingia kwa ajili ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM na baada ya kuwashinda wenzake 6 waliokuwa wakiwania nafasi hiyo ya juu ya uongozi wa nchi. Thursday, November 4, 2010.
hans4real.blogspot.com
Anselm: June 2010
http://hans4real.blogspot.com/2010_06_01_archive.html
It's all about me,myself and I. Friday, June 11, 2010. WOZZA 2010 - South Africa. Leo ni siku kubwa sana kwa Wananchi wa Afrika Kusini kwani yale mashindano makubwa kabisa ya mpira wa miguu(football kwa kingereza) a.k.a kabumbu yanazinduliwa rasmi ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika ndani ya bara la Africa. Hili ndo Kombe la Dunia la FIFA la sasa ambalo Wanaume kutoka Mataifa taalamu kwa kusukuma gozi la ng'ombe 32 watakuwa wakichuana kuligombania. Thursday, June 10, 2010. Siku hiyo nilikuta shughuli ya uj...
hans4real.blogspot.com
Anselm: Watanzania wanapochoka na maisha bora ya kila mmojawao
http://hans4real.blogspot.com/2011/03/watanzania-wanapochoka-na-maisha-bora.html
It's all about me,myself and I. Thursday, March 31, 2011. Watanzania wanapochoka na maisha bora ya kila mmojawao. Mtanzania huyu baada ya kushindwa kununua sukari iliyokuwa inauzwa Tsh 2000/= aliamua kuja na ujumbe wake huu. Hawa kwa hayo machache waliyoya'list hapo waliamua kuja na proposal hii. Na hawa baada ya kuchunguzachunguza na kupata habari ya kazi nzuri zilizofanyika huko Libya waliamua kuja na ujumbe huu. Subscribe to: Post Comments (Atom). Kiluvya - Hondogo, Dar-es-salaam, Tanzania.
hans4real.blogspot.com
Anselm: Usela unapopitiliza huwa haipendezi
http://hans4real.blogspot.com/2011/04/usela-unapopitiliza-huwa-haipendezi.html
It's all about me,myself and I. Friday, April 1, 2011. Usela unapopitiliza huwa haipendezi. Jumamosi ya tarehe 26 March 2011 kulitolewa tuzo kwa Wanamuziki waliofanya vizuri katika msimu wa 2010/2011 maarufu kama Kilimanjaro Music Awards. Katika sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee,Msanii Abas Hamis Kinzasa Maarufu kama 20% alifanikiwa kutwaa tuzo 5 peke yake na kuweka record ya Msanii aliyetwaa tuzo nyingi kwa mpigo tokea tuzo hizo zianzishwe miaka 12 iliyopita. Blog hii inamtambu...
hans4real.blogspot.com
Anselm: The World's biggest family!
http://hans4real.blogspot.com/2011/04/worlds-biggest-family.html
It's all about me,myself and I. Sunday, April 3, 2011. The World's biggest family! Ziona Chana lives with all of them in a 100-room mansion. His wives take it in turns to share his bed. It takes 30 whole chickens just to make dinner. He is head of the world's biggest family - and says he is 'blessed' to have his 39 wives. Ziona Chana also has 94 children, 14-daughters-in-law and 33 grandchildren. The full monty: The Ziona family in its entirety with all 181 members. Subscribe to: Post Comments (Atom).
hans4real.blogspot.com
Anselm: April 2010
http://hans4real.blogspot.com/2010_04_01_archive.html
It's all about me,myself and I. Friday, April 23, 2010. Namkumbuka sana Mwalimu wangu wa Biology wakati nilipokuwa nasoma O-Level,nakumbuka katika topic moja iliyokuwa inaongelea afya ya akili alituambia kuwa kuna aina nyingi sana za vichaa katika binadamu,na alituthibitishia kabisa kuwa Kichaa siyo lazima awe yule anayetembea bila nguo na kuokota makopo majalalani kama wengi tunavyofahamu,wakati huo nilikuwa ni mdogo sana na niliona kama porojo fulani hivi. Mkono mmoja Safari Lager,mkono mwingine Biblia...
hans4real.blogspot.com
Anselm: Mimi Kibaruani
http://hans4real.blogspot.com/2011/04/kibaruani.html
It's all about me,myself and I. Friday, April 29, 2011. In the field,in one of our branches. In one of the Kongamano. Subscribe to: Post Comments (Atom). Kiluvya - Hondogo, Dar-es-salaam, Tanzania. Welcome to my Personal page. This page will contain various stuff including personal ones,so take your time and peruz with me. View my complete profile. Mpunga wa leo 29.04.2011. Kambi ya Makapera yapata pigo. The Worlds biggest family! Usela unapopitiliza huwa haipendezi.