hebujikinge.blogspot.com
JIKINGE NA UKIMWI: JIKINGE
http://hebujikinge.blogspot.com/2010/02/jikinge.html
Monday, 8 February 2010. Kumbe twaweza. pakiwa na nia na kusaidiana . Najua kila mtu anaweza kutoa mchango wake juu ya kupambana na Ukimwi.Tumezoea tu , tunapotaja Ukimwi kwanza tunafikiri pesa kwamba labda inahitaji mabilioni ya shilingi kupambana na ugonjwa huu tena yatoke kwa wafadhili ambao nao wamekubwa na mtikisiko kama si tetemeko la uchumi. Basi mkabala wa waraka huu utajikita zaidi ni kwa jinsi gani tunaweza kupambana na ugonjwa wa Ukimwi kwa kutafuta suluhisho ambazo ziko ndani ya uwezo wetu.
hebujikinge.blogspot.com
JIKINGE NA UKIMWI: uzalendo kwanza
http://hebujikinge.blogspot.com/2010/02/uzalendo-kwanza.html
Friday, 12 February 2010. Friday, February 12, 2010. Subscribe to: Post Comments (Atom). Peik and internet world. Unaonaje mwelekeo wa tovuti hii? Chake-chake, Zanzibar, Tanzania. NI juu ya mimi na wewe tupambane na Ukimwi. Mi ni Ally Mbarouk ,mtansia ya uandishi wa habari Contact: almambry@yahoo.ca Tel: 255773176718. View my complete profile. Zaituni Mwakai ,Chuchu. YA VVU PEMBA NA MAJUMBA YA DHAHABU. From journalist to International Space Centre. From Zanzibar to Worlds Legend.
kichindi.blogspot.com
Kichindi: February 2010
http://kichindi.blogspot.com/2010_02_01_archive.html
Wednesday, 17 February 2010. Oya eti wansema zenji pool haichezwi ona vijana wanavyochakarika. Brother usidhani wananunulika kwa mwananchi wa kawaida, wanahitaji mihela ila mlala hoi huambulia tonge kwa tonge, lakuosha na upapa. Friday, 12 February 2010. Personal I want to thanks, MISA-Tan and VIKES for their decision to organize this wonderful and valid workshop towards the Zanzibar Journalists. Hence thanks to Mr. Peik Johannson and Mr. Majid Mjengwa for their facilitation of the workshop. The result w...
kichindi.blogspot.com
Kichindi: Mzigo wa Terry
http://kichindi.blogspot.com/2010/02/mzigo-wa-terry.html
Wednesday, 10 February 2010. Huyu ndiye mrembo anayeitwa Vanessa aliyezua sekeseke hadi John Terry kuvuliwa unahodha wa timu ya taifa ya Uingereza. Binti huyo alikuwa ni demu wa rafiki wa Terry, Wyane Bridge ambaye kwa hivi sasa anakipiga katika klabu ya Manchester City.(The Sun). Subscribe to: Post Comments (Atom). Muandishi wa habari wa shirika la magazeti ya Serikali. View my complete profile. You know Prof. Gurnah. Hivi eti nyumba hii nayo haiwezi kuwa maajabu ya .
kichindi.blogspot.com
Kichindi: Pool
http://kichindi.blogspot.com/2010/02/pool.html
Wednesday, 17 February 2010. Oya eti wansema zenji pool haichezwi ona vijana wanavyochakarika. Subscribe to: Post Comments (Atom). Muandishi wa habari wa shirika la magazeti ya Serikali. View my complete profile. You know Prof. Gurnah. Hivi eti nyumba hii nayo haiwezi kuwa maajabu ya .
kichindi.blogspot.com
Kichindi: Greeb Belt Movemenet
http://kichindi.blogspot.com/2010/02/greeb-belt-movemenet.html
Wednesday, 10 February 2010. Green Belt Movement is a non profitable organization. It established by Kenyan famous enviromentalist and 2004 Nobel Prize winner Prof. Wangari Maathai in 1977. The movement focus to involve, the Kenyan to protect the enviroment in order to improve the livehoods and security of the Kenyan society through the enviromental impacts which affect various people in various place around the world. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. You know Prof. Gurnah.
kichindi.blogspot.com
Kichindi: You know Prof. Gurnah
http://kichindi.blogspot.com/2010/02/you-know-prof-gurnah.html
Thursday, 11 February 2010. You know Prof. Gurnah. ABDULRAZAK Guarnah is a Professor and famous Tanzania novelist, currently the Lecturer at Kent University in Uk. Among the common books wrote by Prof. Guarnah include Memory of Departure (1987), Pilgrims Way (1988), Dottie (1990), Paradise (1994), Admiring Silence (1996), By the Sea (2001) and Desertion (2005). Also Prof Guarnah is associate editor of the journal Wasafiri. For more information visit www.contemporarywriters.com. View my complete profile.
magazetismz.blogspot.com
SHIRIKA LA MAGAZETI YA SERIKALI ZANZIBAR: WAWAKILISHI WATAKA EWURA ISHITAKIWE.
http://magazetismz.blogspot.com/2011/08/wawakilishi-wataka-ewura-ishitakiwe.html
SHIRIKA LA MAGAZETI YA SERIKALI ZANZIBAR. Http:/ kimengofish.blogspot.com. Tuesday, 2 August 2011. WAWAKILISHI WATAKA EWURA ISHITAKIWE. Wawakilishi wataka EWURA ishitakiwe. UAMUZI wa Shirika la kudhibiti Nishati na Maji (EWURA), juu ya kuchukua jukumu la kuiuzia Zanzibar huduma ya umeme badala ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), umewachafua Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na kuiomba serikali kulishitaki shirika hilo. Alisema huo ni ukiukwaji mkubwa wa mkataba wa makubaliano juu ya ununuzi wa huduma ...
hebujikinge.blogspot.com
JIKINGE NA UKIMWI: JASIRI HATUNAE TENA
http://hebujikinge.blogspot.com/2010/02/jasiri-hatunae-tena.html
Tuesday, 23 February 2010. NA ALLY MBAROUK OMAR. BWANA SALUM ALI SALUM. ZANZIBAR YAPOTEZA SILAHA YA MAPAMBANO YA UKIMWI. SHUHUDA JASIRI ,JEMEDARI HATUNAE TENA. Marehemu Bwana Salum Ali Salum akifungua moja kati ya vikao vya kupambana na UKIMWI. Ya rabi mola mananiiiii …….oooooooooh. Utupe Kinga na tiba. Ugonjwa huu jamaniiii…….aaaaah. Vijana wavitandaniiiii ……….aaaaah. Wao pamoja na baba…ooooh. Sote tuko mashakani ……….eeeeeeh. Ukimwi jama ukimwi …….iiiiiih. Mola tupe , kinga na tiba . Alikua mcheshi mpol...
hebujikinge.blogspot.com
JIKINGE NA UKIMWI: Wangar Maathai, Lulu ya Afrika
http://hebujikinge.blogspot.com/2010/02/wangar-maathai-lulu-ya-afrika.html
Wednesday, 10 February 2010. Wangar Maathai, Lulu ya Afrika. Unaweza kuanza kitu kama utani tu lakini kikawa na mafanikio makubwa sana dunia . Tunakumbuka kuanzishwa kampuni kama microsoft ama TOYOTA ambayo ilikua kama karakana ya familia tu.Leo hii ni makampuni makubwa sana duniani yanayiongiza mabilioni ya shilingi kila mwaka . Basi ndio hivyo ilivyoanza taasisi ya Wanaharakati wa Mapinduzi ya Kijani huko Kenya ama , Green Belt Movement. Wednesday, February 10, 2010. Subscribe to: Post Comments (Atom).