kishindoleosport.blogspot.com
KISHINDO LEO SPORTS: Kombe la Mataifa ya Afrika Ratiba ya Nusu Fainali na Fainali
http://kishindoleosport.blogspot.com/2013/02/kombe-la-mataifa-ya-afrika-ratiba-ya.html
Sunday, February 3, 2013. Kombe la Mataifa ya Afrika Ratiba ya Nusu Fainali na Fainali. Mikel relishes Yaya battle. Ratiba ya Nusu Fainali. Matokeo ya Robo fainali. Subscribe to: Post Comments (Atom). Matokeo na Ratiba Priemier league ya England. Kombe la Mataifa ya Afrika 2013. Kombe la Mataifa ya Afrika Live. Simple template. Template images by homebredcorgi.
kishindoleosport.blogspot.com
KISHINDO LEO SPORTS: Barcelona yaisambaratisha AC Milan 4 - 0
http://kishindoleosport.blogspot.com/2013/03/barcelona-yaisambaratisha-ac-milan-4-0.html
Tuesday, March 12, 2013. Barcelona yaisambaratisha AC Milan 4 - 0. Wachezaji wa Barcelona wakifurahia baada ya kupata goli. David Villa akishangilia baada ya kufunga goli dhidi ya AC Milan. David Villa kulia wa Barcelona na Kelvin Costant wa AC Milan wakiwa kazini. Gerrald Pique wa Barcelona akifurahia moja ya magoli yaliyofungwa na Barcelona dhidi ya AC Milan. Lionel Messi wa Barcelona akijaribu kumchomoka Kevin Costant wa AC Millan. Prince Boateng wa AC Milan akihuzunika baaada ya kufungwa na Barcelona.
kishindoleosport.blogspot.com
KISHINDO LEO SPORTS: Kombe la Mataifa ya Afrika: Matokeo, Ratiba, Msimamo wa Makundi
http://kishindoleosport.blogspot.com/2013/01/kombe-la-mataifa-ya-afrika-matokeo_28.html
Monday, January 28, 2013. Kombe la Mataifa ya Afrika: Matokeo, Ratiba, Msimamo wa Makundi. Subscribe to: Post Comments (Atom). Matokeo na Ratiba Priemier league ya England. Kombe la Mataifa ya Afrika 2013. Kombe la Mataifa ya Afrika Live. Simple template. Template images by homebredcorgi.
kishindoleolovesfield.blogspot.com
Kishindoleo Loves' Field: Pete ya Uchumba si Ndoa, Je mwanamke unajua hiyo ni nini?
http://kishindoleolovesfield.blogspot.com/2012/10/mwanamke-usidanganyike-pete-ya-uchumba.html
Rudi kwenye ukurasa wa Habari. Sunday, October 28, 2012. Pete ya Uchumba si Ndoa, Je mwanamke unajua hiyo ni nini? Rafiki zangu leo tutajifunza kitu kipya kabisa. Naamini utabadili namna ya kufikiri mara mada hii itapofika ukingoni. Nazungumzia kuhusu pete za uchumba. Hizi zimekuwa maarufu sana katika jamii yetu siku hizi. Watu wanakutana disko, wiki mbili baadaye wanavalishana pete! Tayari ameshachumbiwa na amekuwa chini ya miliki ya mtu. Uko wapi usahihi wa pete za uchumba? Utaratibu huu umepokelewa vi...
kishindoleolovesfield.blogspot.com
Kishindoleo Loves' Field: Unajua Wanaume wanapenda kuoa Wanawake wa aina gani?
http://kishindoleolovesfield.blogspot.com/2012/10/unajua-wanaume-wanapenda-kuoa-wanawake.html
Rudi kwenye ukurasa wa Habari. Thursday, October 25, 2012. Unajua Wanaume wanapenda kuoa Wanawake wa aina gani? Habari za wiki hii mpenzi msomaji. Mimi namshukuru Mungu kwa kuweza kunikutanisha na nyinyi kupitia safu hii ambayo pamoja na mambo mengine nazungumzia juu ya mada mbalimbali ambazo zinagusa maisha yetu ya kila siku. Wiki hii nitazungumazia juu ya aina ya wanawake ambao wanaume wengi hupendelea kuoa. MWEYE MAPENZI YA KWELI. Lengo kubwa la mwanaume kuoa ni kutaka kupata mapenzi ya kweli kutoka k...
kishindoleolovesfield.blogspot.com
Kishindoleo Loves' Field: Faida na hasara ya Sweet, Baby.. kwenye Mapenzi
http://kishindoleolovesfield.blogspot.com/2012/10/ubaya-wa-dear-sweet-baby-kwa-asiye.html
Rudi kwenye ukurasa wa Habari. Saturday, October 20, 2012. Faida na hasara ya Sweet, Baby. kwenye Mapenzi. Ni neno la Kiingereza lenye maana ya mtoto, tena mara nyingi linatumika kwa mtoto mdogo. Pia lina maana nyingine ya mpenzi. Ni neno maarufu sana siku hizi; hata wazee kabisa, utasikia wanaitana baby! Mbali na hilo, yapo maneno mengine kama sweet, dear, honey. Husisimua na kuongeza ladha ya mapenzi ya kweli. Kumuita mpenzi wako kwa majina ya kimapenzi huongeza zaidi upendo na msisimko wa moyo....
kishindoleolovesfield.blogspot.com
Kishindoleo Loves' Field: Wanaume mnajua hili: Mfanyie mwanamke akuzidishie raha
http://kishindoleolovesfield.blogspot.com/2012/10/wanaume-mnajua-hili-mfanyie-mwanamke.html
Rudi kwenye ukurasa wa Habari. Saturday, October 20, 2012. Wanaume mnajua hili: Mfanyie mwanamke akuzidishie raha. MAMBO vipi ndugu zangu? Ni furaha yangu kwa mara nyingine tena kukutana nanyi wapendwa wasomaji wa safu yetu hii. Tumshukuru Muumba wetu kwa kutujaalia uhai na afya njema, lakini zaidi ya hapo tumshukuru pia kwa kutuumbia kitu mapenzi au siyo jamani? Siku zote hatutaacha kuzungumza juu ya mapenzi kwani ni ukweli usiopingika kwamba mapenzi ndiyo maisha yetu. Kosa kubwa mnalofanya wanaume ni k...
kishindoleolovesfield.blogspot.com
Kishindoleo Loves' Field: Kauli Zenye Ishara Mbaya katika Mapenzi
http://kishindoleolovesfield.blogspot.com/2012/10/kauli-zenye-ishara-mbaya-katika-mapenzi.html
Rudi kwenye ukurasa wa Habari. Saturday, October 20, 2012. Kauli Zenye Ishara Mbaya katika Mapenzi. MATARAJIO YA wengi katika uhusiano ni kuwa na furaha, hakuna kinachotafutwa katika mapenzi zaidi ya faraja ya moyo. Lakini ili uweze kuipata ni lazima kuwe na mapenzi ya dhati. Vichwa vya wengi walio katika uhusiano ni kusaka penzi la dhati! Kwa bahati mbaya sana, baadhi ya marafiki zangu, wanashindwa kuchuja pumba na nafaka kwa sababu wakati wanafanya uchaguzi hawakuzingatia vigezo. Rafiki zangu, kauli ya...
kishindoleolovesfield.blogspot.com
Kishindoleo Loves' Field: Je unajua ni hatari kumdadisi mpenzi wako alitembea na wangapi?
http://kishindoleolovesfield.blogspot.com/2012/10/je-unajua-ni-hatari-kumdadisi-mpenzi.html
Rudi kwenye ukurasa wa Habari. Monday, October 29, 2012. Je unajua ni hatari kumdadisi mpenzi wako alitembea na wangapi? KATIKA mapenzi kuna mambo ambayo hayastahili kupewa muda wa kuyajadili. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, mengine yanaweza kutibua furaha iliyopo na kuweza kupindisha maisha yenu. Alikuwa akimheshimu sana mumewe na kumpatia kila aina ya furaha. Kwa kifupi ilikuwa ni ndoa ya kuigwa. Siku moja Rashid alikutana na rafiki yake wa muda mrefu sana. Rashid aliposikia kuwa Wahida alikuwa chang...