maabara.blogspot.com
Music LAB: Ngoma ya Nikki mbishi yafanikiwa kuwa ngoma bora ya jan 2010 Cloudz FM
http://maabara.blogspot.com/2010/02/ngoma-ya-nikki-mbishi-yafanikiwa-kuwa.html
Tuesday, February 2, 2010. Ngoma ya Nikki mbishi yafanikiwa kuwa ngoma bora ya jan 2010 Cloudz FM. Katika ngoma nne zilizokuwa cello ya bongo fleva kipindi kinachoendeshwa na fetty ngoma ya nikki mbishi aliyoshirikisha belle 9 na one KILA SIKU imeshika nafasi ya kwanza baada ya kupigiwa kura nyingi kuliko ngoma zinginie zikiwemo am not a flirt ya klyn, one love ya steve r&b na nipigie ya A.t. I like the song. February 12, 2010 at 12:59 PM. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar es Salaam, Tanzania.
maabara.blogspot.com
Music LAB: Huku Traditional Kule Dansi
http://maabara.blogspot.com/2009/12/huku-traditional-kule-dansi.html
Wednesday, December 30, 2009. Huku Traditional Kule Dansi. Sasa ni zamu ya Lapakache ku introduce kazi mbili zenye mahadhi tofauti kutoka kwa wazee wa shoka ACHIGO BAND na yule jamaa wa AfriJazz Musa vipaji vingi! Kama mambo yakienda sawa, basi Achigo Band wataingia studioni wiki ijayo kurekodi vibao vyao viwili kwa mkupuo ambacho kimoja kinataraji kuingia hewani katikati ya mwezi january 2010. Ikumbukwe kuwa bendi hii ndio ile ile ya jemedari wa muziki alieko kifungoni The legendary Nguza Viking! One - ...
maabara.blogspot.com
Music LAB: One year Annivessary - music Lab
http://maabara.blogspot.com/2010/06/one-year-annivessary-music-lab.html
Wednesday, June 2, 2010. One year Annivessary - music Lab. Music lab (M-lab) will celebrate its one year of its existence. Some various packages have been arranged to get the better of the event which will take place at the end of this month. The exactly date and the package will be announced soon. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar es Salaam, Tanzania. View my complete profile. There was an error in this gadget. There was an error in this gadget. Nikki Mbishi (Music lab) - mbishi@mediakings.org.
maabara.blogspot.com
Music LAB: Incredible remix is buzzing
http://maabara.blogspot.com/2010/06/incredible-remix-is-buzzing.html
Thursday, June 3, 2010. Incredible remix is buzzing. All I can say is the fact that, each individual did a justice to the hip hop scene. Hopefully we will see lot of collabo which will reflect such a movement. Congratulation One, chid benz, izzo business and Stereo. You did a great job. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar es Salaam, Tanzania. Music Laboratory (mLAB) is mainly dealing with the craft of Audio,Video, and Graphics creativity as one of the key component of Media kings Tanzania Limited.
maabara.blogspot.com
Music LAB: DUKE GET BUSY WITH THT AND MALARIA PROJECT
http://maabara.blogspot.com/2010/01/duke-get-busy-with-tht-and-malaria.html
Wednesday, January 13, 2010. DUKE GET BUSY WITH THT AND MALARIA PROJECT. Ni kama mwaka umeanza vizuri kwa upande mmoja na mbaya kwa upande wa pili kwa Producer DUKE. Umeanza vibaya kwa kuwa amelazimika kuikatisha likizo yake kutokana na ratiba ndeefu ya project zinazomkabili. MLAB inamtakia kazi njema mzee mzima duke na team yake nzima ya ufinyanzi na uhunzi wa milio ili wote wale wabishi wakae chini pasi kutambaa. Hi, after reading this awesome piece of writing i am as well delighted to share my. One - ...
maabara.blogspot.com
Music LAB: Duketachez na Grace Matata wala shavu XXL Teen Awards
http://maabara.blogspot.com/2010/02/duketachez-na-grace-matata-wala-shavu.html
Tuesday, February 9, 2010. Duketachez na Grace Matata wala shavu XXL Teen Awards. Producer Duke na msanii chipukizi Grace Matata wamepata shavu la kuwa Nomenees katika scheme mpya ya Awards iliyoanzisshwa na CLOUDZ FM kupitia kipindi chake cha XXL. Duke yupo katika category ya producer bora wa mwaka, wakati Grace yupo katika category ya msanii bora chipukizi wa mwaka. List nzima ni hii hapa:. Group of the year. Dj of the year. 2 dj steve b. 3 dj a.d. Hottest collable of the year. 2 cnn - ngwea feat fid q.
maabara.blogspot.com
Music LAB: New Video for grace Matata
http://maabara.blogspot.com/2010/05/new-video-for-grace-matata.html
Monday, May 10, 2010. New Video for grace Matata. Last Sunday (9th/May 2010) The singer did the video for her new song "FREE SOUL" for almost 60%. The rest will be done on Saturday. Adam Juma did what he did man, and from the look of it, the video is gonna be the bomb. Stay tune for her two releases at go. Niaje am a great fan of G matata,keep us, the fans up to date kuhusu kazi za grace if pocbo kam zinauzwa tuelekezane nkanunue,al be glad mazee,PEACE.BBOY. June 30, 2010 at 9:36 PM. View my complete pro...
spotistarehe.wordpress.com
May | Spoti na Starehe
https://spotistarehe.wordpress.com/may
Habari za Michezo, Burudani na Starehe. Habari za Afya ya Uzazi. KWELI KOFFI OLOMIDE KAKOPA KWA JB MPIANA DOLA 30.000? WERRASON KAFUNGUA MRADI WA KUUZA MADINI. WERRASON NA JB MPIANA WAMPONGEZA PAPA WEMBA KUTOKANA NA NDOA YAKE YA KANISANI. Saturday, May 31, 2008. VINARA AWARDS 2008: COPY YAIBUKA KIDEDEA, YANYAKUA JUMLA YA TUZO SABA! Hassan Bumbuli kutoka upande wa majaji, akimkabidhi tuzo ya adui bora kwenye filamu, Sebastian Mwanangulo ‘seba'(kulia) kutokana na filamu ya Misukosuko 2. Nyumba ya 50 Cent y...
spotistarehe.wordpress.com
MPYA HIYO !!! VIDEO YA WERRASON WIMBO ” BLOCK CADENAS “ | Spoti na Starehe
https://spotistarehe.wordpress.com/2014/10/15/mpya-hiyo-video-ya-werrason-wimbo-block-cadenas
Habari za Michezo, Burudani na Starehe. Habari za Afya ya Uzazi. KWELI KOFFI OLOMIDE KAKOPA KWA JB MPIANA DOLA 30.000? WERRASON KAFUNGUA MRADI WA KUUZA MADINI. WERRASON NA JB MPIANA WAMPONGEZA PAPA WEMBA KUTOKANA NA NDOA YAKE YA KANISANI. VIDEO YA WERRASON WIMBO ” BLOCK CADENAS “. Http:/ www.youtube.com/watch? BONYEZA KICHWA CHA HABARI UTIZAME VIDEO. KAMA KAWAIDA TUNAWALETEA VITU VIPYA,. BAADA YAKUSIKILIZA AUDIO YA BLOCK CADENAS, SASA TIZAMENI VIDEO YAKE ILIO SAFI KABISA. Feed You can leave a response.
spotistarehe.wordpress.com
TUMKUMBUKE GRAND MAITRE LUAMBO MAKIADI / NYIMBO ZAKE ZILIZO PIGWA MARUFUKU | Spoti na Starehe
https://spotistarehe.wordpress.com/2014/10/14/tumkumbuke-grand-maitre-luambo-makiadi-nyimbo-zake-zilizo-pigwa-marufuku
Habari za Michezo, Burudani na Starehe. Habari za Afya ya Uzazi. KWELI KOFFI OLOMIDE KAKOPA KWA JB MPIANA DOLA 30.000? WERRASON KAFUNGUA MRADI WA KUUZA MADINI. WERRASON NA JB MPIANA WAMPONGEZA PAPA WEMBA KUTOKANA NA NDOA YAKE YA KANISANI. TUMKUMBUKE GRAND MAITRE LUAMBO MAKIADI / NYIMBO ZAKE ZILIZO PIGWA MARUFUKU. Miaka 25 Sasa tokea Afariki Dunia Guiji wa Muziki wa Rumba FRANCO LUAMBO MAKIADI. 1 Mkasa kama huo umemkuta TABU LEY ROCHEREAU, wakati katunga Wimbo ” KASHAMA NKOYI ” kwenye Wimbo hu...Tokengela...