tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS: Kuelekea Mji mwema ilipo Power station ilipo...
http://tumaininews.blogspot.com/2011/04/kuelekea-power-station-ilipo.html
Thursday, April 14, 2011. Kuelekea Mji mwema ilipo Power station ilipo. Safari kuelekea ilipo power station. Power station inavyoonekana kwa nje. Akipima kiwango cha umeme unaozalishwa. Mtambo wa zamani kabla hajapata mafunzo toka kwa Injinia wa kijerumani jinsi ya kutengeneza umeme bila uharibifu wa mazingira. Maji yanayotoka nje baada ya kupita kwenye mota ya kuzalisha umeme. Maji haya huvunwa kutoka mtoni na kurudi tena mtoni baada ya kuzalisha umeme. Subscribe to: Post Comments (Atom). The big top ten.
tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS: Power station ya mradi wa kijiji cha chamani
http://tumaininews.blogspot.com/2011/04/power-station-ya-mradi-wa-kijiji-cha.html
Thursday, April 14, 2011. Power station ya mradi wa kijiji cha chamani. Mzee Pwagu akielekea ilipo power station ya kijiji cha chamani, kijiji hicho kipo kilometa 15 kutoka ilipo power station ya mji mwema. Akifungua Mlango wa power station, pembeni ni kijana ambaye amepewa mafunzo na mzee Pwagu namna ya kutengeneza umeme na kukisimamia kituo hicho cha umeme. Mashine ya kuzalisha umeme kwa kutumia maji kama inavyoonekana. Mzee Pwagu akitoka toka power station huku akitaniana na vijana wake.
tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS: March 2011
http://tumaininews.blogspot.com/2011_03_01_archive.html
Wednesday, March 16, 2011. Pepa ya mwisho ilikuwa hivii. Ngoja nipige final touch. Wkikaguliwa kuingia chumba cha mtihani. Tuesday, March 15, 2011. Pepa za mwisho mwisho zilikuwa hivi. Wanachuo wakiwa karibu na eneo la tukio ili kumalizia mtihani wa mwisho wa. Tuesday, March 1, 2011. HOTUBA YA MHE. RAIS KWA WANANCHI – 28.02.2011. HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA. TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE,. KWA WANANCHI, 28 FEBRUARI, 2011. Milipuko ya Mabomu Gongolamboto. Pwani – watatu,. Majeruh...
tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS
http://tumaininews.blogspot.com/2011/04/blog-post_14.html
Thursday, April 14, 2011. Subscribe to: Post Comments (Atom). There was an error in this gadget. Journalism students at Tumaini University, Iringa University College host this blog. It is besically designed to share news, events and other professional and academic stuff with members of the Tumaini Community. View my complete profile. There was an error in this gadget. There was an error in this gadget. There was an error in this gadget. There was an error in this gadget. The big top ten.
tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS: Mzee Pwagu:Injinia wa umeme Njombe asiyefahamika
http://tumaininews.blogspot.com/2011/04/mzee-pwaguinjinia-wa-umeme-njombe.html
Wednesday, April 13, 2011. Mzee Pwagu:Injinia wa umeme Njombe asiyefahamika. Ku na watu wengi wanaoweza kuisaidia serikali kutatua tatizo la umeme kama watatumika ipasavyo. Bahati mbaya serikali yetu inashindwa kuwatupia macho na kuwaacha waende na vipaji vyao,. Huku taifa likizama katika giza. Mmoja wa watu wenye uwezo wa kuzalisha umeme John Mwafute,mwenye umri wa miaka 81anayefahamika zaidi kwa jina la Mzee Pwagu kutoka. Alianza kwa kuzalisha umeme wa kilowatt 1. Mafunzo kwa vijana wa kijiji cha chama...
tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS: Maazimisho ya 17 ya mauaji ya Kimbari 1994 Rwanda yaliyofanyika katika chuo kikuu cha Tumaini Iringa
http://tumaininews.blogspot.com/2011/04/maazimisho-ya-17-ya-mauaji-ya-kimbari.html
Monday, April 11, 2011. Maazimisho ya 17 ya mauaji ya Kimbari 1994 Rwanda yaliyofanyika katika chuo kikuu cha Tumaini Iringa. Mgeni rasmi Mhe. Lazaro Nyalandu, Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda. Mdegela awaasa wanasiasa wa Tanzania kuacha ubinafsi. Na mpiga picha wetu Elisha Magolanga. Mkuu wa kitivo cha sheria Renatus Mgongo, Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Lazaro Nyalandu na Askofu wa KKKT-Iringa Dr. Owdenburg Mdegela alipowasiri chuo kikuu cha Tumaini-Iringa. Katika ukumbi wa Multipurpose. Journ...
tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS: January 2011
http://tumaininews.blogspot.com/2011_01_01_archive.html
Monday, January 31, 2011. Kuna haja ya wasomi kubadilika katika hili. 65279;Na Kagusa Manjemu. Zifuatazo ni picha ambazo zinaonyesha uzembe dhidi ya utunzaji wa mazingira miongoni mwa wanafunzi wa Chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Iringa. Kopo la kutupia taka likiwa na taka chache pamoja na sababu kuwa kuna uhaba wa makopo haya. Sehemu isiy rasmi kwa taka ikiwa imesheheni makopo na taka nyingine. Eneo lenye mikusanyiko ya watu wengi kama hili la Cafe Hall, hakuna hata kopo moja la kutupia taka. Mkuu wa ch...
tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS: February 2011
http://tumaininews.blogspot.com/2011_02_01_archive.html
Saturday, February 26, 2011. Rais wa TUSO IUCo ajiuzulu. Ni baada ya serikali yake kutuhumiwa ufisadi. Rais John K. Juma akitoa ufafanuzi katika mkutano aliouitisha. Godwin Kunambi ambaye ni Katibu Mkuu wa Serikali ya wanafunzi aliyefukuzwa kazi akipanda jukwaani kutoa ufafanuzi. Kunambi akitoa vielelezo vya tuhuma za ufisadi wa serikali ya wanafunzi. Rais John K Juma akijiandaa kutoa utetezi wake. Wanafunzi walipovamia ofisi ya rais. Kunambi akijibu hoja za rais. Kunambi akizungumza na wanahabari. Masha...
tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS
http://tumaininews.blogspot.com/2011/04/blog-post.html
Thursday, April 14, 2011. Subscribe to: Post Comments (Atom). There was an error in this gadget. Journalism students at Tumaini University, Iringa University College host this blog. It is besically designed to share news, events and other professional and academic stuff with members of the Tumaini Community. View my complete profile. There was an error in this gadget. There was an error in this gadget. There was an error in this gadget. There was an error in this gadget. The big top ten.
tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS: Waraka wa kwanza 2011 toka kwa Vitalis Maembe
http://tumaininews.blogspot.com/2011/04/waraka-wa-kwanza-2011-toka-kwa-vitalis.html
Thursday, April 21, 2011. Waraka wa kwanza 2011 toka kwa Vitalis Maembe. Msanii wa muda mrefu na ambaye ameweka maskani yake kule Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.Vitalis Maembe ametoa waraka. Waraka huo unaelezea mambo mbalimbali yanayoendelea nchini na baadhi ya vitu vya kufanya ili kuiboresha Tanzania. Soma waraka Huo kama alivyoutuma kwa vyombo vya habari hapo chini. Heshima yenu popote mlipo! Mimi ni Vitali Maembe, mwanamuziki, Mswahili, Mwalimu na mtumishi mwenzenu wa waafrika. Pamoja na hayo yote mpaka sas...
SOCIAL ENGAGEMENT