tmark-turn.blogspot.com
MSANII BI. NYAKOMBA, AFARIKI DUNIA ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2015/05/taarifa-zilizo-tufikia-ni-kwamba.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. MSANII BI. NYAKOMBA, AFARIKI DUNIA. Wednesday, May 27, 2015. Taarifa zilizo tufikia ni kwamba, Muigizaji Maarufu wa Radio na Television, Bi. Catherine Mapunda, Maarufu kwa Jina la Uigizaji Bi Nyakomba, amefariki dunia. Amefariki katika hospitali ya Jeshi la Polisi katika barabara ya Kilwa, alikopelekwa usiku wa kuamkia tarehe 25 May 2015 baada ya kuzidiwa. Bi Nyakomba alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari tangia mwaka 2012. Inawa...
tmark-turn.blogspot.com
Nakala ya Qur'an Iliyo 'Kongwe' Yapatikana Katika Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza. ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2015/07/nakala-ya-quran-iliyo-kongwe-yapatikana.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. Nakala ya Qur'an Iliyo 'Kongwe' Yapatikana Katika Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza. Wednesday, July 22, 2015. Msahafu huo Unaweza kuwa ndio mkongwe zaidi duniani unapatikana katika Chuo Kikuu cha Birmingham, nchini Uingereza. Mshafu huu uligunduliwa kuwa mkongwe baada ya mtafiti wa shahada ya uzamifu (PhD), Bwana Alba Fedeli, alipoamua kufanya uchunguzi wa karibu zaidi katika kurasa za huo msahafu na kuzifanyia vipimo kwa kutumia m...
tmark-turn.blogspot.com
Mimi Na Tanzania - Madawa Kijiweni Tandika - Hoyce Temu ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2015/06/mimi-na-tanzania-madawa-kijiweni.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. Mimi Na Tanzania - Madawa Kijiweni Tandika - Hoyce Temu. Tuesday, June 02, 2015. Hii ni moja ya video iliyo rekodiwa na mwana dada Hoyce Temu, video hii imepigwa maeneo ya Tandika, Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. Wachache walio hojiwa wanaomba kama ikiwezekana basi wapatiwe msaada ili waweze kuacha kutumia haya madawa. Video hapa chini inajieleza. Subscribe to: Post Comments (Atom). For All Your Graphic Design Needs. 160; QUEEN...
tmark-turn.blogspot.com
Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Issa Shabani Simba Amefariki ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2015/06/mufti-mkuu-wa-tanzania-shekh-issa.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Issa Shabani Simba Amefariki. Monday, June 15, 2015. Habari zilizotufikia muda si mrefu ni kwamba Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Issa Shabani Simba Amefariki dunia, leo asubuhi. Taarifa ya mazishi kwa mujibu wa Sheikh wa mkoa Alhadi kupitia Radio Quran yatafanyika siku ya Alhamisi, Mkoani Shinyanga. Kwa wale wote watakaopata nafasi basi wanaweza kuudhuria Msibani nyumbani kwake Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
tmark-turn.blogspot.com
JINSI YA KUONDOA CHUNSI KWA NJIA YA ASILI ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2014/08/jinsi-ya-kuondoa-chunsi-kwa-njia-ya.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. JINSI YA KUONDOA CHUNSI KWA NJIA YA ASILI. Wednesday, August 06, 2014. Unaweza kutumia Tango kwa kuondoa chunusi na hata kuondoa mabaka mabaka katika ngozi na kuifanya ngozi yako kuonekana yenye afya na yenye kuvutia. Unaweza kutumia majani ya Mnanaa kuondoa chunusi usoni. Majani ya manna utumika hata kwa wale wenye matatizo ya Mba kwenye kichwa. Twanga majani machache au saga kisha weka sehemu iliyo athirika. Wacha mpaka pakau...Kata ...
tmark-turn.blogspot.com
Please people watch who send your Candy Crush requests. ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2015/07/please-people-watch-who-send-your-candy.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. Please people watch who send your Candy Crush requests. Wednesday, July 22, 2015. Subscribe to: Post Comments (Atom). For All Your Graphic Design Needs. Mazishi Ya AL-Marhum SHEIKH NASSOR BACHU. Hii ndio safari ya mwisho ya Marehemu Sheikh Nassor Abdallah Bachu ambaye imelazimika maiti yake kusaliwa katika uwanja wa Maisara k. Dalili za Ugonjwa Wa kaswende. Walivyovaa Mastar usiku wa foolish Age ya Lulu. Mchumba wa Prezzo afariki.
tmark-turn.blogspot.com
KIJANA ALIYE SAMBAZA PICHA NA VIDEO ZA UCHI ZA ALIYEKUWA RAFIKI YAKE WAKIKE APATIKANA ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2014/05/kijana-aliye-sambaza-picha-na-video-za.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. KIJANA ALIYE SAMBAZA PICHA NA VIDEO ZA UCHI ZA ALIYEKUWA RAFIKI YAKE WA KIKE APATIKANA. Thursday, May 01, 2014. Picha na stori kwa hisani ya LE MUTUZ. Subscribe to: Post Comments (Atom). For All Your Graphic Design Needs. Mazishi Ya AL-Marhum SHEIKH NASSOR BACHU. Hii ndio safari ya mwisho ya Marehemu Sheikh Nassor Abdallah Bachu ambaye imelazimika maiti yake kusaliwa katika uwanja wa Maisara k. Dalili za Ugonjwa Wa kaswende. A Dombosha...
tmark-turn.blogspot.com
Mastaa Kuchangisha Pesa Kwa Kushikwa Matiti ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2014/08/mastaa-kuchangisha-pesa-kwa-kushikwa.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. Mastaa Kuchangisha Pesa Kwa Kushikwa Matiti. Thursday, August 28, 2014. Halo Rafiki, tazama hapa. Ni kibwagizo kwenye tangazo la kuchangisha pesa kwa ajili ya kupiga vita maambukizi ya UKIMWI. Wachezaji wa Kijapani wa picha za ngono, hivi karibuni watajitolea adharani kwa mtu yoyote mwenye kutaka kushika na kupapata matiti yao, kwa lengo la kuchangia mfuko wa kupiga vita maambukizi ya UKIMWI. Mwigizaji huyo aliendelea kusema kuwa ' Hak...
tmark-turn.blogspot.com
Dalili za Ugonjwa Wa kaswende ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2013/04/dalili-za-ugonjwa-wa-kaswende.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. Dalili za Ugonjwa Wa kaswende. Thursday, April 11, 2013. Dalili na Viashiria vya ugonjwa wa kaswende. Dalili na viashiria vya ugonjwa wa kaswende hutegemea na aina ya ugonjwa wa kaswende wenyewe. Kuna aina tano za ugonjwa wa kaswende ambazo ni;. 8226;Ugonjwa wa kaswende wa awali (Primary syphilis). 8226;Ugonjwa wa kaswende wa pili (Secondary syphillis). 8226;Kaswende iliyojificha (Latent syphilis). Kaswende ya baadae (Tertiary syphilis).