modreamz.blogspot.com
modreamz: Apr 23, 2013
http://modreamz.blogspot.com/2013_04_23_archive.html
24 Kilwa villagers set up 60-ha sesame demonstration farm # keep it up AMSHA. Twenty four farmers at Tilawandu village, Kilwa district in Lindi region have introduced a demonstration farm for sesame production for other villagers from the district to learn from. The farm will enable more than 300 farmer groups in the district to learn from it to boost their economic fortunes , improve farmer’s network and facilitate the development of sesame production within the country. According to Mwaimu, once they f...
modreamz.blogspot.com
modreamz: Mar 15, 2013
http://modreamz.blogspot.com/2013_03_15_archive.html
Mwana kwenye Tenga, Baba kwenye baiskeli taratibu mpaka hospitali. WAKATI baadhi ya viongozi na watu wenye uwezo kifedha wanapoumwa hata kama ni mafua hukimbilia nje ya nchi kwa matibabu, hali kama hiyo imekuwa tofauti kwa watu mafukala ambapo hivi karibuni mkazi mmoja wa kijiji cha Kiloka katika wilaya ya Morogoro Vijijini, Mohamed Juma alikutwa kwenye msitu mnene akinyonga kwa kasi baiskeli yake kwa lengo la kumwahisha zahanati mtoto wake aliyekuwa ameketi kwenye tenga ambalo kubebewa nyanya. A student...
modreamz.blogspot.com
modreamz: Mar 18, 2013
http://modreamz.blogspot.com/2013_03_18_archive.html
Chupuchupu kucharagwa panga kwa kuchomekea! Dereva wa daladala ambae jina lake halikuweza kupatikana, amemkoromea mwenzake kwa kosa la kumchomekea, (overtake) kitu ambacho kilitaka kumsababishia ajali kwa katika eneo la Mshindo mjini Iringa. Picha na stori kwa hisani ya Mjengwa blog. Links to this post. Subscribe to: Posts (Atom). A student of UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM taking PUBLIC RELATIONS AND ADVERTISING. Stay tuned there is something big is coming here at modreamz. Karibu sana. YOU MAY LIKE THIS.
modreamz.blogspot.com
modreamz: Arudi shule baada ya utafiti wa TAMWA
http://modreamz.blogspot.com/2013/04/arudi-shule-baada-ya-utafiti-wa-tamwa.html
Arudi shule baada ya utafiti wa TAMWA. UTAFITI wa kihabari uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), Machi 2012 umefanikisha kumrudisha shuleni mwanafunzi wa sekondari aliyekuwa ametelekezwa yeye pamoja na familia yao. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi juzi akiwa shuleni Komnyang'anyo, mwanafunzi huyo aliishukuru TAMWA kwa kuibua tatizo la familia yao kwa umma na kupatikana kwa mfadhili ambaye amemrudisha masomoni licha ya familia yao kutelekezwa. Binafsi nawashukuru sa...
modreamz.blogspot.com
modreamz: UHURU WA HABARI TANZANIA #Hekaya za Ray Mtani
http://modreamz.blogspot.com/2013/05/uhuru-wa-habari-tanzania-hekaya-za-ray.html
UHURU WA HABARI TANZANIA #Hekaya za Ray Mtani. Leo ni siku ya uhuru wa habari dudiniani, lengo kuu la maadhimisho ya siku hii may 3, (world press freedom day) ni:. 8226; kukuza uelewa kuhusu umuhimu wa uhuru wa habari na. 8226; kukumbusha serikari wajibu wake wa kuheshimu na kuthamini haki ya uhuru wa kujieleza kama unavyotajwa katika Ibara ya 19 ya mkataba wa haki za binadam. Kwangu mimi siku hiyo ni zaidi ya muhimu kwa ustawi wa demeokrasia ya nchi yetu, ni muhimu kwa ajili ya kuhamasisha na kuchochea ...
modreamz.blogspot.com
modreamz: Kinabo mhitimu SUA aliejiajiri katika ufugaji wa samaki
http://modreamz.blogspot.com/2013/04/kinabo-mhitimu-sua-aliejiajiri-katika.html
Kinabo mhitimu SUA aliejiajiri katika ufugaji wa samaki. Mawazo ya wahitimu wengi wa vyuo vikuu nchini katika miaka ya karibuni imekuwa ni namna ya kupata ajira zenye tija. Ndoto ya wengi ni kupata kazi za kipato kizuri na ambazo zitawawezesha kuishi vizuri, kumiliki gari, kujenga nyumba na mambo mengine lukuki. Hata hivyo, baadhi wamekumbana na tatizo la ajira ambalo limewasukuma katika kubuni miradi ambayo itawawezesha kumudu maisha na changamoto zake. Anasema akiwa mwaka wa pili SUA alipata taarifa ya...
modreamz.blogspot.com
modreamz: Apr 30, 2013
http://modreamz.blogspot.com/2013_04_30_archive.html
Kinabo mhitimu SUA aliejiajiri katika ufugaji wa samaki. Mawazo ya wahitimu wengi wa vyuo vikuu nchini katika miaka ya karibuni imekuwa ni namna ya kupata ajira zenye tija. Ndoto ya wengi ni kupata kazi za kipato kizuri na ambazo zitawawezesha kuishi vizuri, kumiliki gari, kujenga nyumba na mambo mengine lukuki. Hata hivyo, baadhi wamekumbana na tatizo la ajira ambalo limewasukuma katika kubuni miradi ambayo itawawezesha kumudu maisha na changamoto zake. Anasema akiwa mwaka wa pili SUA alipata taarifa ya...
modreamz.blogspot.com
modreamz: May 3, 2013
http://modreamz.blogspot.com/2013_05_03_archive.html
UHURU WA HABARI TANZANIA #Hekaya za Ray Mtani. Leo ni siku ya uhuru wa habari dudiniani, lengo kuu la maadhimisho ya siku hii may 3, (world press freedom day) ni:. 8226; kukuza uelewa kuhusu umuhimu wa uhuru wa habari na. 8226; kukumbusha serikari wajibu wake wa kuheshimu na kuthamini haki ya uhuru wa kujieleza kama unavyotajwa katika Ibara ya 19 ya mkataba wa haki za binadam. Kwangu mimi siku hiyo ni zaidi ya muhimu kwa ustawi wa demeokrasia ya nchi yetu, ni muhimu kwa ajili ya kuhamasisha na kuchochea ...
modreamz.blogspot.com
modreamz: Afrika ikatae kunyonywa na kugawanywa
http://modreamz.blogspot.com/2013/04/afrika-ikatae-kunyonywa-na-kugawanywa.html
Afrika ikatae kunyonywa na kugawanywa. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, mwishoni mwa wiki limepitisha kwa kauli moja Tamko la Kisiasa kuhusu Utatuzi wa Migogoro Barani Afrika kwa njia ya Amani. Miongozi wa viongozi wakuu walioshirikia majadilaino hayo, na ambayo yaliandaliwa na Bw. Vuk Jeremic, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, Rais wa Equatoria Guinea Theodore Obiang Nguema Mbasogo, Rais Mstaafu wa Burundi Jean Pierre Buyoya ambaye pia Mwakilishi...
modreamz.blogspot.com
modreamz: A picture speaks more than thousand words
http://modreamz.blogspot.com/2013/05/a-picture-speaks-more-than-thousand.html
A picture speaks more than thousand words. Subscribe to: Post Comments (Atom). A student of UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM taking PUBLIC RELATIONS AND ADVERTISING. Stay tuned there is something big is coming here at modreamz. Karibu sana. View my complete profile. A picture speaks more than thousand words. Kwa huduma zote za Stationery. MOYO WAKO UNA SIRI KUBWA. Wasiliana nasi 0659242408 ili kujipatia kopi yako. CHANGAMOTO ZA MAPENZI, MAHUSIANO and UJANA SAFI KATIKA DUNIA ILIYOCHAFUKA. YOU MAY LIKE THIS.