nyasigos.blogspot.com
Nyasigo Kornel: Miaka 48 ya Mijadala Isiyoisha
http://nyasigos.blogspot.com/2007/01/miaka-48-ya-mijadala-isiyoisha.html
Friday, January 19, 2007. Miaka 48 ya Mijadala Isiyoisha. Miaka 48 ya mijadala ya EAC isiyoisha. NI MIAKA arobaini na nane mjadala umekuwa ukiendelea sio tu kwa wananchi bali hata kwa viongozi waandamizi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC). Aliyekuwa Waziri wa Biashara wa Kenya J.G. Kiano katika mwaka wa 1959 akitoa sababu tatu alizokuwa akiamini kabisa kuwa ingehatarisha shirikisho hilo. Viongozi wa kipindi hiki walifikiri kuwa uchumi wa Tanzania, Kenya na Uganda ungekuwa kama wangetumia soko la wat...
nyasigos.blogspot.com
Nyasigo Kornel: Kilimo
http://nyasigos.blogspot.com/2007/01/kilimo-mdau-muhimu-wa-matumbo.html
Saturday, January 13, 2007. Kilimo: Mdau muhimu wa matumbo anayesahaulika. Aliyekuwa Waziri Mkuu wa India Hayati Mahatma Gandhi aliwahi kusema kuwa kuna watu katika dunia hii walio na njaa ya chakula kiasi kwamba hawawezi kuuona uhalisia wa Mungu wao katika maisha yao isipokuwa katika maumbo ya chakula tu (There are people in the world so hungry, that God cannot appear to them except in the form of bread). Wakati wa kikao cha Bunge lililopita, Mbunge wa viti maalumu, Mhonga Ruhwanya (CHADEMA), alitaka ku...
nyasigos.blogspot.com
Nyasigo Kornel: Waalimu wa Sita
http://nyasigos.blogspot.com/2007/01/waalimu-wa-sita.html
Saturday, January 13, 2007. Waalimu wa Sita wasiwambwe msalabani. Mshairi maarufu sana wa Uingereza aitwaye Shakespeare, katika tungo za mashairi yake aliwahi kuandika kuwa‘One way to get an education in a hurry is to drive a school bus’ (Njia mojawapo ya kupata elimu kwa haraka zaidi ni kuendesha basi la shule). Hii ina maana kuwa kadri unavyokuwa karibu na watu wenye maarifa na ujuzi wowote basi uwezekano mkubwa wa kupata huo ujuzi kwa haraka ni mkubwa. Mwandishi maarufu wa makala ya elimu Hun Hwang wa...
nyasigos.blogspot.com
Nyasigo Kornel: A Drunkard Journalist
http://nyasigos.blogspot.com/2007/01/drunkard-journalist.html
Saturday, January 20, 2007. When a Drunkard Journalist is Out for Exclusive Stories. Pressure of getting exclusive stories for the local village daily newspaper called. Mounts to the point of affecting two drunkard journalists. Madiaba and Ondiek are veteran journalists whose effort to curb the shortage of exclusive stories leads them into the local alcohol clubs. She asked, “Well, Madiaba, how goes inside? Fell less thirsty after wetting your throat? Madiaba muttered, “Mh! Of all local brews they used t...
nyasigos.blogspot.com
Nyasigo Kornel: Ibada za Kikoloni
http://nyasigos.blogspot.com/2007/01/ibada-za-kikoloni.html
Saturday, January 13, 2007. Tunaendela kusali ibada za kikoloni. WASOMI na watawala wetu wamekuwa wakimkejeli Chifu Magungo wa Usagara kwa kile kinachoitwa kutia sahini mkataba wa ulaghai wa kuwapa wakoloni ardhi kwa muda wa maika 999 chini ya mpelelezi Dk. Karl Peters. Chifu Magungo analo la kujitetea, anaweza kusema kuwa hakuwa na elimu, taarifa na maharifa ya kutosha juu ya mikataba na dhana nzima ya ukoloni. Zimekuwa zikiingia ndani ya nchi kama makampuni, asasi au madhehebu za kididni. Sijui ni kwa ...
nyasigos.blogspot.com
Nyasigo Kornel: Rubbish Funeral
http://nyasigos.blogspot.com/2007/01/rubbish-funeral.html
Saturday, January 20, 2007. The Freelance Clergy in a Rubbish Funeral. OTHIAGO died a terrible death. He was a millionaire with a dubious and mysterious way of life. It was strongly rumoured that he was the engine behind the chain of unlawful deeds that left the whole village paralysed. The previous night, a burglar had been disturbed as he was attempting a break-in. “Thief! 8221; The owner of the house had screamed. 8221; Othaigo was mesmerised. 8220;The one you are hiding in your house! 8220;He is dead!
nyasigos.blogspot.com
Nyasigo Kornel: Viva
http://nyasigos.blogspot.com/2007/01/viva-wanahabari.html
Saturday, January 13, 2007. Viva Wanahabari na Amanda Areopagitica! Baadhi ya wababe na watemi wa kisiasa waliojitokeza duniani kukandamiza Uhuru wa Habari (Areopagitica) kama Joen Larien, Kenneth Robert na Heleg Drugman walikuwa wakiamini kuwa ilikuwa ni salama mwananchi hasipopata Habari zile kali za ndani ya serikali kuliko akizifahamu, kwani waliamini kuwa wananchi wakizijua ilikuwa inawapunguzia wanasiasa uaminifu kwa wananchi wao. Sio muda mrefu wadau wa Sekta ya Habari walitoa tamko la kuikataa mu...
nyasigos.blogspot.com
Nyasigo Kornel: Lack of Respect for the Teaching Profession
http://nyasigos.blogspot.com/2007/01/lack-of-respect-for-teaching-profession.html
Saturday, January 20, 2007. Lack of Respect for the Teaching Profession. Why lack of respect for the teaching profession. TALK to any young school leaver and teachers, the suggestion of considering a career in teaching is rejected as if it were the greatest insult or dumbest suggestion ever. In recent times though, a startling revelation has been the drastic decline in respect of the teaching profession. How is this very true? Otieno says, “Indeed it is, but it is a very hard working one if you do ...
nyasigos.blogspot.com
Nyasigo Kornel: AFRICA
http://nyasigos.blogspot.com/2007/01/afrika-inavyodharaulika.html
Saturday, January 13, 2007. Afrika inavyodharaulika na wazungu. Afisa mmoja wa Marekani aliyekuwa akisimamia misaada inayolewa na nchi hiyo kwa nchi za Afrika aliwahi kuongea kwa majigambo akisema kuwa ‘Principle export of the United States to Africa is money (bidhaa kubwa anayoisafirisha Marekani kuja Afrika ni pesa)’. Kuna kikundi cha wazungu wanaofikiri kuwa Afrika ikinyimwa misaada na nchi tajiri inaweza ikapukutika na kupotea katika ramani ya viumbe hai wa dunia hii. Moja ya kikundi kilichojikita ka...
nyasigos.blogspot.com
Nyasigo Kornel: WASOMI
http://nyasigos.blogspot.com/2007/01/wasomi-msitumike-kupotosha.html
Saturday, January 13, 2007. Wasomi msitumike kupotosha umma. Ukitaka kuona genge wasomi waliokosa dira kwa mwenendo na uchungu wa demokrasia katika nchi hii basi nenda katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) utapata kikundi kimoja cha hao wasomi wakiwa wameanzisha asasi iitwayo REDET, asasi ambayo imekuwa ikitumika kuhujumu fikira za wananchi kwa kutoa takwimu zenye maoni zinazoonyesha kuwa hii ni asasi ya Rais Jakaya Kikwete. Mwezi mmoja tu uliopita aliyekuwa Mkurugenzi wa REDET Prof. Rweikaza Mu...