santoschuwa.blogspot.com
UNBOUNDARIES NEWS: UN YAISHUKURU TANZANIA KWA JUHUDI ZAKE ZA KUSAIDIA KULINDA AMANI NCHI ZINGINE
http://santoschuwa.blogspot.com/2016/06/un-yaishukuru-tanzania-kwa-juhudi-zake.html
Thursday, June 2, 2016. UN YAISHUKURU TANZANIA KWA JUHUDI ZAKE ZA KUSAIDIA KULINDA AMANI NCHI ZINGINE. Mgeni rasmi Meja Jenerali James Mwakibolwa akipata maelezo mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa wa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam 31 Mei, 2016. Mgeni rasmi Meja Jenerali James Mwakibolwa akiweka shada la maua kwenye mnara wa mashujaa kuwakumbuka Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa walipoteza maisha wak...
santoschuwa.blogspot.com
UNBOUNDARIES NEWS: Museveni aketi barabarani kupokea simu
http://santoschuwa.blogspot.com/2016/07/museveni-aketi-barabarani-kupokea-simu.html
Tuesday, July 12, 2016. Museveni aketi barabarani kupokea simu. Bw Museveni alipokea simu kando ya barabara wilaya ya Isingiro, karibu na mpaka wa Uganda na Tanzania. Je ushawahi kupokea simu ya dharura? Je wewe hujitenga vipi na watu waliokaribu nawe ima ni mkeo ama hata wafanyakazi wenza ili upokee simu ya kibinafsi? Na je katika enzi hizi za simu za kisasa au Smartphone wangapi wetu wanatumia simu za kale zisizo na touchscreen? Haya basi, Hayo sio maswali ya kipima joto . la! Waganda katika mitandao y...
santoschuwa.blogspot.com
UNBOUNDARIES NEWS: ONESHO LA MAVAZI KWA WANAWAKE WANENE
http://santoschuwa.blogspot.com/2014/11/onesho-la-mavazi-kwa-wanawake-wanene.html
Sunday, November 30, 2014. ONESHO LA MAVAZI KWA WANAWAKE WANENE. Subscribe to: Post Comments (Atom). Nakutakia Amani and Upendo Tanzania. MKURUGENZI WA BLOG HII. View my complete profile. CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI. Mamlaka ya mawasiliano Tz. UREMBO NA MAVAZI YA KISASA. Ubunifu wa Magauni marefu Mitindo ni kitu ambacho kimeajili watu wengi sana katika hii dunia lakini pia kukiwa na sherehe ili sher. MTI WA MAAJABU (MIRACLE TREE) UNATIBU ZAIDI YA MAGONJWA 300. 160; Jamani hii ilikuwa jana s...
mwikalisarah84.wordpress.com
Five Reasons Why Africa is Poor – Ever Rising Girl%
https://mwikalisarah84.wordpress.com/2015/07/07/five-reasons-why-africa-is-poor
Life experiences, Justice System, Peacebuilding,Education, Human rights and any raw nerve touch! July 7, 2015. Five Reasons Why Africa is Poor. Originally : By Mubita C.Nawa. I went to America fifteen years ago to understand why America (USA) was the richest country in the world. Eight years ago I returned to Zambia and I now understand why many people in Africa remain poor. Africa is blessed by many ‘academically’ intelligent people. Yet these people are often very poor leaders. Passing time is a hobby&...
santoschuwa.blogspot.com
UNBOUNDARIES NEWS: Maafisa Maendeleo ya Jamii Kuchochea ukuaji wa Uchumi
http://santoschuwa.blogspot.com/2016/06/maafisa-maendeleo-ya-jamii-kuchochea.html
Thursday, June 2, 2016. Maafisa Maendeleo ya Jamii Kuchochea ukuaji wa Uchumi. Maafisa Maendeleo ya jamii walioajiriwa katika Halmashauri hapa nchini. Wameongezeka kutoka 1,855 mwaka 2005 hadi kufikia 2,675 ikiwa ni ongezeko la asilimia 44 hali inayosaidia kuboreshwa kwa huduma za jamii. Ndomboka amesema kuwa, chuo cha Maendeleo ya jamii Tengeru kimepandishwa hadhi. Taaluma ya Maendeleo ya Jamii inatolewa kwa kuzingatia taratibu na Kanuni zinazotolewa na kusimamiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (...
santoschuwa.blogspot.com
UNBOUNDARIES NEWS: Idadi ya vifo kwa watoto wachanga na wakina mama vyazidi kupungua nchini
http://santoschuwa.blogspot.com/2016/05/idadi-ya-vifo-kwa-watoto-wachanga-na.html
Friday, May 27, 2016. Idadi ya vifo kwa watoto wachanga na wakina mama vyazidi kupungua nchini. Na Ally Daud – Maelezo. Idadi ya vifo kwa watoto wachanga na wakina mama vinazidi kupungua kutoka siku hadi siku katika kufikia malengo ya milenia . 8220;Tumefanikiwa kupunguza Idadi ya vifo kwa watoto wachanga na wakina mama ili kufikia malengo ya milenia kwa upande wa afya kupitia mfumo wa kujiunga na bima ya afya kwa jamii,” alisema Dkt. Mbando. Mbali na hayo Dkt. Mbando amesema kuwa amewakaribisha wana...
santoschuwa.blogspot.com
UNBOUNDARIES NEWS: UREMBO NA MAVAZI YA KISASA
http://santoschuwa.blogspot.com/2014/11/fashion-styles-mpya-za-magauni-marefu.html
Monday, November 17, 2014. UREMBO NA MAVAZI YA KISASA. Ubunifu wa Magauni marefu. Mitindo ni kitu ambacho kimeajili watu wengi sana katika hii dunia lakini pia kukiwa na sherehe ili sherehe ianze lazima mitindo ihusike sasa leo tutaonyesha umhimu wa nguo ndefu kwa wanawake na wabadilike wale wenye tabia ya kutembea uchi. Subscribe to: Post Comments (Atom). Nakutakia Amani and Upendo Tanzania. MKURUGENZI WA BLOG HII. View my complete profile. CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI. Harakati za wanawake...
santoschuwa.blogspot.com
UNBOUNDARIES NEWS: TAMKO LA MH. WAZIRI JANUARY MAKAMBA KUHUSU SHUGHULI ZINAZOHITAJI KUFANYIWA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA (TAM)
http://santoschuwa.blogspot.com/2016/06/tamko-la-mh-waziri-january-makamba.html
Thursday, June 2, 2016. TAMKO LA MH. WAZIRI JANUARY MAKAMBA KUHUSU SHUGHULI ZINAZOHITAJI KUFANYIWA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA (TAM). TAMKO LA MHE. JANUARY Y. MAKAMBA (MB), WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA) KUHUSU SHUGHULI ZINAZOTAKIWA KUFANYIWA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL IMPACT ASSESSMENT). TAREHE 2 JUNI, 2016. Katika ulimwengu wa sasa si rahisi kutenganisha. Hizo zinazomwezesha mwanadamu kuishi na kujiendeleza. Imebuni programu na miradi mingi ya ...
santoschuwa.blogspot.com
UNBOUNDARIES NEWS: Serikali yaandaa mpango kabambe wa mipango miji (Master plans)
http://santoschuwa.blogspot.com/2016/05/serikali-yaandaa-mpango-kabambe-wa.html
Friday, May 27, 2016. Serikali yaandaa mpango kabambe wa mipango miji (Master plans). Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaandaa Mpango Kabambe wa Mipango Miji (Master Plan) utakaoainisha matumizi bora ya ardhi na kuondoa migogoro ya ardhi nchini. Mhe Mabula alieleza kuwa Wizara yake inashirikiana na Halmashauri za Wilaya na Miji 18 kwenye program ya Urban Local Government Supporting Programme (ULGSP) katika kuandaa Mipango Miji hiyo. Aidha, Mabula aliongeza kuwa Serikali ku...