ushairi.com
Photos of prize launch event | Ushairi
http://www.ushairi.com/events/photos-of-prize-launch-event
Ebrahim Hussein Poetry Prize. Photos of prize launch event. Picha na Frank Shija. Mwenyekiti wa jopo la majaji, Profesa Mugyabuso Mlinzi Mulokozi, akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa tuzo. Profesa Ebrahim Hussein akizungumza na wageni waalikwa. Baadhi ya wageni waalikwa wa uzinduzi. Mwenyekiti wa kamati ya Tuzo, Ibrahim Seushi, akizungumza na wageni waalikwa. This entry was posted in Events. April 1, 2014. Utoaji wa Tuzo kwa washindi wa Tuzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein, 2014 →.
ushairi.com
Utoaji wa Tuzo kwa washindi wa Tuzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein, 2014 | Ushairi
http://www.ushairi.com/announcements/utoaji-wa-tuzo-kwa-washindi-wa-tuzo-ya-ushairi-ya-ebrahim-hussein-2014
Ebrahim Hussein Poetry Prize. Utoaji wa Tuzo kwa washindi wa Tuzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein, 2014. 22 Agosti, 2014 Dar es Salaam. Kamati ya Usimamizi ya Tuzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein ingependa kutangaza kwa umma kwamba washindi wa mwaka huu wa kwanza ya Tuzo wameteuliwa. Aliyeshika nafasi ya kwanza ni Esther Karin Mngodo kutoka Dar es Salaam, aliyewasilisha mashairi yaliyoitwa. Ameshinda shilingi laki saba. Washiriki wengine watano walioteuliwa kwa orodha ya heshima ni: Fortunatus Felix Kawegere...
ushairi.com
Masharti | Ushairi
http://www.ushairi.com/masharti
Ebrahim Hussein Poetry Prize. Hili ni shindano la utunzi wa ushairi katika lugha ya Kiswahili tu. Tungo zitakazoshindanishwa ni za aina mbili tu:. Tenzi/Tendi na kazi za kinathari, kama riwaya au tamthilia, hazitahusika. Yaani, zisiwe zimepata kuchapiswa au kutiwa kati CD au kanda; kuchezwa jukwaani,radioni au katika televisheni, au kusambazwa kupitia katika mitandao. Bahari zitakazoshindanishwa ni: Kundi. Ya Kimapokeo au Huru-masivina);. Kundi B. Nyimbo. Tungo ziheshimu miiko ya kijamii na kimaadili.