msafirikitumboblogspot.wordpress.com
Ujumbe wa Kweli wa Yesu Kristo | Msafiri Kitumbo
https://msafirikitumboblogspot.wordpress.com/2012/02/16/ujumbe-wa-kweli-wa-yesu-kristo
February 16, 2012. Ujumbe wa Kweli wa Yesu Kristo. ST DAVID`S COLLEGE, UNIVERSITY OF WALES, U.K.). Kimefasiriwa na Omari Juma Mangilile mangilile@yahoo.com. Sura ya Kwanza: Maandiko Matakatifu 7. Matoleo ya Biblia ya Kingereza 9. Agano la Kale 17. الإشارة المرجعية غير معر فة. Uhakiki wa Maandiko 22. Kupingana katika Quran 23. Sura ya Pili: Yesu Mwanadamu 27. Ushahidi wa Uungu wa Yesu 32. 1 Mwanzo na Mwisho 32. 2 Maisha ya kabla ya Kristo 32. 3 Mwana wa Mungu 33. 4 Pamoja na Mungu 36. Mawazo ya kale 40.
msafirikitumboblogspot.wordpress.com
FIMBO YA MUSA INAYAMEZA WANAYOYAZUSHA (JUZUU YA KWANZA) | Msafiri Kitumbo
https://msafirikitumboblogspot.wordpress.com/2012/01/11/fimbo-ya-musa-inayameza-wanayoyazusha-juzuu-ya-kwanza
January 11, 2012. FIMBO YA MUSA INAYAMEZA WANAYOYAZUSHA (JUZUU YA KWANZA). Juma Muhammad Rashid Al-Mazrui. Kitabu cha Kasim Mafuta. Kuwacha fursa ya dhahabu. Kuyajadili maneno ya Sheikh Seif Al-Ghafri. Jawabu kwa maelezo ya Al-Ghafri. Makosa ya Al-Albani, Imamu wa Hadithi wa Kiwahabi. Al-Albani hazijui Hadithi zilizomo katika Sahihu Al-Bukhari na Sahihu Muslim! Vifungu vyengine vya kujadiliwa katika maneno ya Seif Al-Ghafri. Mukhtasari na nukta muhimu. Fikra na itikadi za Kiwahabi. Madai yasio na msingi.
msafirikitumboblogspot.wordpress.com
Msafiri Kitumbo
https://msafirikitumboblogspot.wordpress.com/2013/05/07/181
May 7, 2013. Soma Annur kila Ijumaa. 1 Kunuti maalum siku 21 kuanza leo. 8211; Ni kuwaombea Kheri Masheikh. 8211; Dr. Shein, Uamsho ni amri ya Mungu. 8211; Hata ma-Rais wanahitaji ‘Fadhakkir’. 8211; Wasisahu siku FFU watakapowakimbia. 2 Habari za kiintelijesia! 8211; Nyingi ni uzushi, ufasiki, usanii. 8211; Masheikh wetu wachunge ndimi. 8211; Waulize maswali, sio kutoa kauli uK 8. 8211; Mholanzi aliyesilimu asema. 8211; Alipoingia Msikiti wa Mtume. 4 Serikali ndiyo inayoleta udini. 7 Hofu ya Netanyahu.
msafirikitumboblogspot.wordpress.com
Majibu ya Rais Benjamin Mkapa kwa Waislamu | Msafiri Kitumbo
https://msafirikitumboblogspot.wordpress.com/2011/05/27/majibu-ya-rais-benjamin-mkapa-kwa-waislamu
May 27, 2011. Majibu ya Rais Benjamin Mkapa kwa Waislamu. Majibu ya Rais kwa Waislamu. The President of the United Republic ofTanzania. 17 Desember, 1999. Ndugu Saleh Al-Miskry,. Halmashauri Kuu ya Waislamu,. C/o Islamic Club,. Utawala wa sheria chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri. Siwezi kushangaaa iwapo kuna mtu au kiongozi mahali ambaye ndani ya moyo wake ana chuki dhidi ya Wakristo au dhidi ya Waislamu, au ana chuki dhidi ya wanaume au wanawake, au ana chuki dhidi ya Wazaramo au Wahaya, au chuki dhidi...
msafirikitumboblogspot.wordpress.com
TAMKO LA WAISLAMU JUU YA MAHAKAMA YA KADHI | Msafiri Kitumbo
https://msafirikitumboblogspot.wordpress.com/2011/06/13/tamko-la-waislamu-juu-ya-mahakama-ya-kadhi
June 13, 2011. TAMKO LA WAISLAMU JUU YA MAHAKAMA YA KADHI. Nukta za Kuzingatiwa katika Tafakari ya mwenendo wa wa suala la Mahakama ya Kadhi. Tarehe 29/Juni/2010, Mufti wa Bakwata alinukuliwa na TBC1 akisema Mahakama ya Kadhi itaanzishwa na kilichobaki ni namna ya uanzishwaji wake na taratibu zake tu. Kauli ya Mhe. Msekwa si ngeni kwetu. Tunapaswa kutahadhari na kauli hizi kwa sababu zinaashiria hali si nzuri kinyume na Mufti wa Bakwata anavyoeleza au anavyotaka waislamu tuamini. Kwa hiyo kipimo chetu ku...
msafirikitumboblogspot.wordpress.com
Mawasiliano | Msafiri Kitumbo
https://msafirikitumboblogspot.wordpress.com/mawasiliano
Wasiliana nami kwa njia zifuatazo:. 255 715 55 99 11. Https:/ www.facebook.com/msafiri.kitumbo. Leave a Reply Cancel reply. Enter your comment here. Fill in your details below or click an icon to log in:. Address never made public). You are commenting using your WordPress.com account. ( Log Out. You are commenting using your Twitter account. ( Log Out. You are commenting using your Facebook account. ( Log Out. You are commenting using your Google account. ( Log Out. Notify me of new comments via email.
msafirikitumboblogspot.wordpress.com
HOTUBA YA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE BARAZA LA EID-EL-FITR, DODOMA, TAREHE 30 AGOSTI, 2011 | Msafiri Kitumbo
https://msafirikitumboblogspot.wordpress.com/2011/08/31/hotuba-ya-mh-jakaya-mrisho-kikwete-rais-wa-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-kwenye-baraza-la-eid-el-fitr-dodoma-tarehe-30-agosti-2011
August 31, 2011. HOTUBA YA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE BARAZA LA EID-EL-FITR, DODOMA, TAREHE 30 AGOSTI, 2011. Mheshimiwa Sheikh Issa bin Shaaban Simba, Sheikh Mkuu. Na Mufti wa Tanzania,. Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa,. Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya BAKWATA;. Wajumbe wa Baraza la Ulamaa;. Waheshimiwa Masheikh na Viongozi wa BAKWATA;. Waheshimiwa Viongozi wa Dini wa. Viongozi Wenzangu wa Chama na Serikali;. Ndugu Wananchi; Wageni Waalikwa,. Mabibi na Mabwana;.
msafirikitumboblogspot.wordpress.com
Hotuba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye Baraza la Eid-el-Fitr, Arusha, tarehe 24 Oktoba, 2006 | Msafiri Kitumbo
https://msafirikitumboblogspot.wordpress.com/2011/09/01/hotuba-ya-mhe-jakaya-mrisho-kikwete-rais-wa-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-kwenye-baraza-la-eid-el-fitr-arusha-tarehe-24-oktoba-2006
September 1, 2011. Hotuba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye Baraza la Eid-el-Fitr, Arusha, tarehe 24 Oktoba, 2006. Mheshimiwa Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa bin Shaaban Simba;. Mhe Mkuu wa Mkoa,. Mheshimiwa Mbunge wa Arusha;. Mheshimiwa Naibu Mufti, Sheikh Abubakar Zubeir;. Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya BAKWATA;. Wajube wa Baraza Ulamaa;. Waheshimiwa Masheikh na Viongozi wa BAKWATA;. Mheshimiwa Baba Askofu Laissor,. Mheshimiwa Sheikh Mkuu na.
msafirikitumboblogspot.wordpress.com
DINI | Msafiri Kitumbo
https://msafirikitumboblogspot.wordpress.com/dini
Juma Muhammad Rashid Al-Mazrui. Kitabu cha Kasim Mafuta. Kuwacha fursa ya dhahabu. Kuyajadili maneno ya Sheikh Seif Al-Ghafri. Jawabu kwa maelezo ya Al-Ghafri. Makosa ya Al-Albani, Imamu wa Hadithi wa Kiwahabi. Al-Albani hazijui Hadithi zilizomo katika Sahihu Al-Bukhari na Sahihu Muslim! 8230;…………………………………………………………………. Vifungu vyengine vya kujadiliwa katika maneno ya Seif Al-Ghafri. Mukhtasari na nukta muhimu. Fikra na itikadi za Kiwahabi. Mungu ni kiwiliwili si kama viwiliwili! Madai yasio na msingi.
msafirikitumboblogspot.wordpress.com
SIASA | Msafiri Kitumbo
https://msafirikitumboblogspot.wordpress.com/kwaheri-ukoloni-kwaheri-uhuru-zanzibar-na-mapinduzi-ya-afrabia
Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Kwanza kabisa kuliko yote au yoyote, sina budi kumsujudiya na kumshukuru Mwenye Enzi Mungu kwa Rehma zake na kwa kunionyesha njia ndani ya midani ya utafiti ambayo haikuwa na alama rahisi za kupitwa na iliyokuwa imewekewa ngazi yenye kuelekeya kunako mlango wa jiwe uliyofungwa. Ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa Muungano wa Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete umeweza kujenga utamaduni wa amani na utu...