vivimachange.blogspot.com
VIVI MACHANGE: ULIMWENGU WA MACELEB: Baada ya miaka 17 ya ndoa Will Smith na mkewe Jada wanaripotiwa kutalikiana.....hizi ndoa ni shideeeer
http://vivimachange.blogspot.com/2015/08/ulimwengu-wa-maceleb-baada-ya-miaka-17.html
Monday, August 3, 2015. ULIMWENGU WA MACELEB: Baada ya miaka 17 ya ndoa Will Smith na mkewe Jada wanaripotiwa kutalikiana.hizi ndoa ni shideeeer. After 17 years as husband and wife, Will Smith. A new report by Radar Online. Subscribe to: Post Comments (Atom). Nifuate kwenye social media. Zilizosomwa Sana Wiki Hii. PICHA: Rangi Nzuri za Kupaka Nje ya Nyumba. Hey darling, angalia hizi nyumba 9 uone jinsi combination ya nyeupe inavyoweza kufanya kazi na rangi nyingine kwa ajili ya ukuta wa nje ya n. Kama vi...
vivimachange.blogspot.com
VIVI MACHANGE: Mzee Yusuph amesema lazima aache muziki
http://vivimachange.blogspot.com/2015/07/mzee-yusuph-amesema-lazima-aache-muziki.html
Tuesday, July 14, 2015. Mzee Yusuph amesema lazima aache muziki. Mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuph amefunguka na kusema kuwa lazima aache muziki na kufanya kazi zingine nje ya muziki. Mzee Yusuph alisema hayo alipohojiwa na mtangazaji wa Tam Tam za Mwambao ya East Africa Radio, Mwanne Othman. Lakini mzee Yusuph aliweza kuweka wazi suala la yeye kutaka kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Fuweni Zanzibar na kusema kuwa a...
vivimachange.blogspot.com
VIVI MACHANGE: Majina ya wagombea watano wa uraisi kwa tiketi ya CCM waliopitishwa na Kamati Kuu
http://vivimachange.blogspot.com/2015/07/majina-ya-wagombea-watano-wa-uraisi-kwa.html
Saturday, July 11, 2015. Majina ya wagombea watano wa uraisi kwa tiketi ya CCM waliopitishwa na Kamati Kuu. Subscribe to: Post Comments (Atom). Nifuate kwenye social media. Helooo rafiki, mimi ni Vivi na karibu katika blog yangu. Hapa utapata kujua mengi yahusianayo na LIFESTYLE yako na nyumba yako. Pia nakukaribisha kununua bidhaa mbalimbali zinazouzwa humu. Asante kwa kunitembelea! Zilizosomwa Sana Wiki Hii. PICHA: Rangi Nzuri za Kupaka Nje ya Nyumba. UNAPENDELEA KABATI LA VYOMBO LENYE MILANGO HADI CHI...
vivimachange.blogspot.com
VIVI MACHANGE: INASIKITISHA JINSI MMILIKI WA SHULE ALIVYOUAWA....WAUAJI MBARONI
http://vivimachange.blogspot.com/2015/07/inasikitisha-jinsi-mmiliki-wa-shule.html
Wednesday, July 1, 2015. INASIKITISHA JINSI MMILIKI WA SHULE ALIVYOUAWA.WAUAJI MBARONI. POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuua mmiliki wa shule ya Mtakatifu Zion, Anna Mizingi (48) kisha kumtumbukiza katika shimo la choo cha shule hiyo. Kutokana na taarifa hizo polisi walifungua jalada la uchunguzi, ambapo wakati wakiendelea na uchunguzi zilipatikana taarifa zilizosaidia kukamatwa kwa watuhumiwa hao huko Uchira Mawaleni, wilaya ya Moshi, Kilimanjaro. Kamanda ...
vivimachange.blogspot.com
VIVI MACHANGE: Kupenya kwa Dk Magufuli ni kama vita vya panzi furaha ya kunguru..mmh
http://vivimachange.blogspot.com/2015/07/kupenya-kwa-dk-magufuli-ni-kama-vita.html
Monday, July 13, 2015. Kupenya kwa Dk Magufuli ni kama vita vya panzi furaha ya kunguru.mmh. Hatimaye Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk. John Magufuli, kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Magufuli alipitishwa na CCM baada. Majina yaliyopelekwa Nec mbali na Magufuli ni Dk. Asha-Rose Migiro, Balozi Amina Salum Ali, January Makamba na Bernard Membe. Hawa ni pamoja na Edward Lowassa, Profesa Mark Mwandosya, Stephen Wasira, Jaji Augustino Ramadhani na Sa...
vivimachange.blogspot.com
VIVI MACHANGE: Mke wa Dk. Slaa afunguka
http://vivimachange.blogspot.com/2015/08/mke-wa-dk-slaa-afunguka.html
Friday, August 7, 2015. Mke wa Dk. Slaa afunguka. Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuzungumza na mwananchi na kusema yupo salama, mke wake, Josephine Mushumbusi amekanusha tuhuma zilizozagaa kuwa ndiye aliyemshauri kiongozi huyo wa Chadema kujiuzulu na kumzuia kushiriki vikao muhimu vya chama. Kwa mujibu wa taarifa hizo ambazo Mushumbusi amezikanusha, aliamua alimfungia ndani Dk Slaa kama moja ya mbinu za kumzuia asishiriki shughuli za kichama, tuhuma ambazo amezikanusha.
vivimachange.blogspot.com
VIVI MACHANGE: ULIMWENGU WA MACELEB: Hatimaye Fantasia Barrino apata "mpenzi wa kweli" na kampamba kwelikweli..
http://vivimachange.blogspot.com/2015/07/ulimwengu-wa-maceleb-hatimaye-fantasia.html
Tuesday, July 21, 2015. ULIMWENGU WA MACELEB: Hatimaye Fantasia Barrino apata "mpenzi wa kweli" na kampamba kwelikweli. Fantasia Barrino has found her "real love"! The 31-year-old "American Idol" winner shared shots of her weekend wedding. On Sunday, gushing about her groom Kendall Taylor. Those who really know me know that I LOVE Water. Can you see it? Subscribe to: Post Comments (Atom). Nifuate kwenye social media. Zilizosomwa Sana Wiki Hii. PICHA: Rangi Nzuri za Kupaka Nje ya Nyumba. Hello rafiki, ...
vivimachange.blogspot.com
VIVI MACHANGE: ILANI YA UCHAGUZI CCM YAIVA..
http://vivimachange.blogspot.com/2015/07/ilani-ya-uchaguzi-ccm-yaiva.html
Sunday, July 5, 2015. ILANI YA UCHAGUZI CCM YAIVA. KIKAO Maalumu cha Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza jana Mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Jakaya Kikwete, kwa ajili ya kupitisha Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015. Kikao hicho ni mwanzo wa vikao vinavyotarajiwa kuanza mapema wiki ijayo, kwa ajili ya kuchuja majina ya walioomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari nje ya jengo la Makao Makuu ya CCM, Whi...
vivimachange.blogspot.com
VIVI MACHANGE: Wakati vikao vya juu vya CCM vya kuchuja wagombea urais vikianza leo, hofu na wasiwasi umezidi
http://vivimachange.blogspot.com/2015/07/wakati-vikao-vya-juu-vya-ccm-vya.html
Wednesday, July 8, 2015. Wakati vikao vya juu vya CCM vya kuchuja wagombea urais vikianza leo, hofu na wasiwasi umezidi. Wakati vikao vya juu vya CCM vya kuchuja wagombea urais vikianza leo, hofu na wasiwasi umezidi kutanda miongoni mwa wagombea, viongozi na wanachama wa chama hicho kuhusu namna ya kuikabili minyukano baina ya wagombea hao na kibarua cha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba. 8220;Tunazo taratibu, tunazo kanuni zetu. Nataka kuamini kuwa kila mtu aliyegombea anajua kuna kushinda na kuna kushindwa n...
vivimachange.blogspot.com
VIVI MACHANGE: Jinsi ya kupamba kwa vitu vyenye michoro kama iliyopo kwenye ngozi za wanyama
http://vivimachange.blogspot.com/2015/08/jinsi-ya-kupamba-kwa-vitu-vyenye.html
Thursday, August 6, 2015. Jinsi ya kupamba kwa vitu vyenye michoro kama iliyopo kwenye ngozi za wanyama. Michoro kama iliyopo kwenye ngozi za wanyama haipitwi na wakati iwe ni kwenye nguo, vitupio na hata mapambo ya nyumbani. Kupamba kwa vitu vyenye michoro hii si jambo jipya. Umaarufu wake unaongezeka kila siku na. Kwa wale wanaopenda asili kupamba kwa rangi za michoro ya kwenye ngozi za wanyama inaburudisha nafsi zao. Inaleta muonekano ambao wenye nyumba wengi wanaupenda na pasipo shaka ni wa kipek...
SOCIAL ENGAGEMENT