bofyatz.com
Bofyatz.com:: Tanzanian tech blog
http://www.bofyatz.com/2014_07_01_archive.html
Friday, July 4, 2014. Tume ya uchaguzi na vitambulisho vya NIDA. Tuanze na nukuu ifuatayo ya mwezi februari mwaka jana (2013):. 8220;Kama sehemu ya kuimarisha utendaji kazi, mamlaka hiyo ya vitambulisho vya taifa imeanzisha ushirikiano na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec),. Ambayo inakusudia kuvitumia vitambulisho hivyo katika uchaguzi mkuu ujao. Leo hii hali ni hivi:. Tutarudi katika hizo siasa baadae, ila kwa sasa maoni yangu:. Ingawa tume ya uchaguzi(NEC) ina wajibu wa kurekebisha daftari la wapiga kura...
bofyatz.com
Bofyatz.com:: Tanzanian tech blog
http://www.bofyatz.com/2015_04_01_archive.html
Thursday, April 30, 2015. Maoni yangu juu ya CyberCrime Act 2015. Maoni haya yanasomwa vizuri zaidi kwa kutumia muswada wenyewe unaopatikana hapa http:/ www.mst.go.tz/index.php/component/phocadownload/category/1-downloads? Maoni haya yanatolewa na mtu asiye mwanasheria hivyo kama kuna makosa ya jinsi nilivyoelewa sheria hizi basi yasemehewe. Nakubali kuwa kuna haja ya kuwa na sheria hii kama hii kwa wakati huu. Yafuatayo ni maoni yangu katika kuboresha muswada. Labels: cybercrime act 2015.
bofyatz.com
Bofyatz.com:: Tanzanian tech blog
http://www.bofyatz.com/2014_09_01_archive.html
Saturday, September 20, 2014. Jack Ma awa tajiri namba moja nchini China. Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya Alibaba, Jack Ma, sasa ndio tajiri nambari moja nchini China. Bwana Ma mwenye umri wa miaka 49, amepiga hatua hiyo baada ya kundi la makampuni yake ya Alibaba kuorodheshwa kwenye soko la hisa la New York (NYSE). Makapuni chini ya kundi la Alibaba yanashughulika na biashara mbali mbali za mtandaoni (e-commerce) nchini china. Mojawapo ya biashara zake ni soko la mtandao Alibaba.com.
udom.ac.tz
The University Of Dodoma
http://www.udom.ac.tz/index.php
Campus Life and Facilities. Campus Life and Facilities. Welcome To The University of Dodoma. Event and Video Gallery. The 1st Statistical Conference, November 17 – 18, 2016. Friday 2nd ,September 2016. RESULTS - RECOGNITION OF PRIOR LEARNING EXAMINATION (RPL) 2016. Tuesday 30th ,August 2016. Examination timetable: COLLEGE OF HEALTH SCIENCES. Wednesday 24th ,August 2016. ALL STUDENTS COLLEGE OF INFORMATICS AND VIRTUAL EDUCATION. Tuesday 16th ,August 2016. Monday 29th ,August 2016. Tuesday 16th ,August 2016.
bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: June 2014
http://bishophiluka.blogspot.com/2014_06_01_archive.html
Jun 25, 2014. USHINDI WA SHOESHINE FESTICAB: Kwanini hatutilii maanani filamu fupi? TAKRIBAN wiki mbili zilizopita nilikuwa mjini Bujumbura nchini Burundi kwa mwaliko wa Shirika la Kijerumani la GIZ, ambapo Mtandao wa Wanafilamu wa Afrika Mashariki ulikuwa ukizinduliwa rasmi, sambamba na Tuzo za filamu kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu la Burundi (Festicab) 2014, linalofanyika jijini Bujumbura. Jun 16, 2014. HARAKATI ZA TAFF: Serikali, sikieni kilio chetu kwa mustakabali wa Taifa. Katika mifano hii m...
santoschuwa.blogspot.com
UNBOUNDARIES NEWS: UN YAISHUKURU TANZANIA KWA JUHUDI ZAKE ZA KUSAIDIA KULINDA AMANI NCHI ZINGINE
http://santoschuwa.blogspot.com/2016/06/un-yaishukuru-tanzania-kwa-juhudi-zake.html
Thursday, June 2, 2016. UN YAISHUKURU TANZANIA KWA JUHUDI ZAKE ZA KUSAIDIA KULINDA AMANI NCHI ZINGINE. Mgeni rasmi Meja Jenerali James Mwakibolwa akipata maelezo mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa wa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam 31 Mei, 2016. Mgeni rasmi Meja Jenerali James Mwakibolwa akiweka shada la maua kwenye mnara wa mashujaa kuwakumbuka Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa walipoteza maisha wak...
mtwarakumekucha.blogspot.com
MTWARA KUMEKUCHA: SAFARI YA MWISHO YA KAPTENI JOHN KOMBA MKOANI RUVUMA
http://mtwarakumekucha.blogspot.com/2015/03/safari-ya-mwisho-ya-kapteni-john-komba.html
Tuesday, March 3, 2015. SAFARI YA MWISHO YA KAPTENI JOHN KOMBA MKOANI RUVUMA. Tuesday, March 03, 2015. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. BARAZA LA MITIHANI TANZANIA. BENKI KUU YA TANZANIA. CHUO KIKUU CHA ARDHI. CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM. CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE. CHUO KIKUU CHA MZUMBE. CHUO KIKUU CHA TIBA MUHIMBILI. HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO. HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC. HOSPITALI YA RUFAA YA MUHIMBILI. MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA. MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA.
mtwarakumekucha.blogspot.com
MTWARA KUMEKUCHA: AINA YA VIONGOZI TUNAOWAPANDIKIZA.
http://mtwarakumekucha.blogspot.com/2015/03/aina-ya-viongozi-tunaowapandikiza.html
Saturday, March 7, 2015. AINA YA VIONGOZI TUNAOWAPANDIKIZA. Saturday, March 07, 2015. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. BARAZA LA MITIHANI TANZANIA. BENKI KUU YA TANZANIA. CHUO KIKUU CHA ARDHI. CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM. CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE. CHUO KIKUU CHA MZUMBE. CHUO KIKUU CHA TIBA MUHIMBILI. HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO. HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC. HOSPITALI YA RUFAA YA MUHIMBILI. MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA. MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA. MPINGA CUP 2016 ...
mtwarakumekucha.blogspot.com
MTWARA KUMEKUCHA: SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA TANZANIA.
http://mtwarakumekucha.blogspot.com/2015/03/sakata-la-madawa-ya-kulevya-tanzania.html
Wednesday, March 4, 2015. SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA TANZANIA. Kliniki maalum ya kuwatibu waathirika wa Madawa ya Kulevya iliyopo Muhimbili. Picha na Erin Bynes wa Aljazeera. Mwathirika wa madawa ya kulevya akipata dozi ya madawa ya aina ya Methadone yanayotumika kuwatibu waathirika wa madawa ya kulevya inayotolewa katika Kliniki maalum iliyopo Muhimbili. Picha na Erin Bynes wa Aljazeera. Na Baraka Mfunguo,. Sababu zinazochangia vijana kujihusisha na madawa ya kulevya. Hatua ya serikali iliyochukua ni k...
SOCIAL ENGAGEMENT