mbeyayetu.blogspot.com
Mbeya Yetu: MABATINI KINARA REDCROOS CUP 2015
http://mbeyayetu.blogspot.com/2015/05/mabatini-kinara-redcroos-cup-2015.html
Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com. Monday, May 18, 2015. MABATINI KINARA REDCROOS CUP 2015. Mwenyekiti wa Redcross Mkoa wa Mbeya, Ulimboka Mwakilili akizungumza na timu muda mfupi kabla hazijaingia uwanjani. Wachezaji wa Timu ya Ghana wakiwa katika picha ya pamoja. Wachezaji wa Timu ya Mabatini wakiwa katika picha ya pamoja. Timu zikiwa uwanjani zikitimua vumbi. Wachezaji wa timu ya mabatini wakishangilia baada ya kuibuka mabingwa. Alisema Ligi iyo ilianza kutim...
mbeyayetu.blogspot.com
Mbeya Yetu: DEREVA WA BASI ATELEKEZWA NA BOSI WAKE BAADA YA KUPATA AJALI NA KUVUNJIKA MIGUU NA MKONO.
http://mbeyayetu.blogspot.com/2015/05/dereva-wa-basi-atelekezwa-na-bosi-wake.html
Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com. Saturday, May 23, 2015. DEREVA WA BASI ATELEKEZWA NA BOSI WAKE BAADA YA KUPATA AJALI NA KUVUNJIKA MIGUU NA MKONO. Huyu ndiye Dereva aliyepata ajali na kuvunjika Miguu na Mkono. Habari kamili inakuja hapa hapa Fuatilia. Picha na Mbeya yetu. Subscribe to: Post Comments (Atom). C) Mbeya Yetu. Powered by Blogger. THIS IS PROPERTY OF TONE MG. Kwa Maelezo zaidi Bofya Picha hii. Wasiliana nae moja kwa moja. Unataka Blog Piga 0654221465.
fredynjeje.blogspot.com
Fredy Njeje Blog: HOT NEWS: PROFESA IBRAHIM LIPUMBA AJIUZULU NYAZIFA ZOTE CUF NA UKAWA, ABAKI MWANACHAMA WA KAWAIDA
http://fredynjeje.blogspot.com/2015/08/hot-news-profesa-ibrahim-lipumba.html
Listen and download musics for free. Thursday, 6 August 2015. HOT NEWS: PROFESA IBRAHIM LIPUMBA AJIUZULU NYAZIFA ZOTE CUF NA UKAWA, ABAKI MWANACHAMA WA KAWAIDA. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Peacock leo jijini Dar es salaam wakati akitangaza kujuuzulu nyazifa zake zote katika chama hicho na kubaki mwanachama wa kawaida kutokana kile alichokiita dhamira inamsuta.(NA KIKOSKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM). Ameel...
fredynjeje.blogspot.com
Fredy Njeje Blog: MASHIRIKA MATANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA(FOS) YAUNGANA KWA PAMOJA KUTOA ELIMU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015
http://fredynjeje.blogspot.com/2015/08/mashirika-matano-ya-kitaifa-na.html
Listen and download musics for free. Thursday, 6 August 2015. MASHIRIKA MATANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA(FOS) YAUNGANA KWA PAMOJA KUTOA ELIMU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015. Wasemaji kutoka Mashirika Matano Kutoka kushoto ni Msemaji kutoka LHRC,OXFAM, Restless Development, BBC na VSO. Hellen Kijo Bisimba ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha sheria na haki. Meneja wa Programu kitengo cha Governance kutoka Oxfam Bi. Betty Malaki akiendelea kutoa utaratibu katika Mkutano huo. Mwakilishi kutoka Shirika la U...
fredynjeje.blogspot.com
Fredy Njeje Blog: JUST IN: MKUTANO MKUU ADC WAMPITISHA, CHIEF LUTASOLA YEMBA KUWA MGOMBEA URAIS TANZANIA BARA, SAID MIRAJI ABDULLAH MGOMBEA MWENZA
http://fredynjeje.blogspot.com/2015/08/just-in-mkutano-mkuu-adc-wampitisha.html
Listen and download musics for free. Wednesday, 5 August 2015. JUST IN: MKUTANO MKUU ADC WAMPITISHA, CHIEF LUTASOLA YEMBA KUWA MGOMBEA URAIS TANZANIA BARA, SAID MIRAJI ABDULLAH MGOMBEA MWENZA. M gombea urais wa chama cha ADC, Zanzibar, Hamad Rashid Hamad, akihutubia katika mkutano huo. Makamu Mwenyekiti wa ADC, Zanzibar, Faki Hamisi Silima, akizungumza katika mkutano huo. Katibu Mkuu wa chama hicho, Lydia Bendera akimpongeza. Said Miraji kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwenza. Wednesday, August 05, 2015.
SOCIAL ENGAGEMENT