mtangazaji.com
KAGERA:TAMKO LA RAIS WA TANZANIA KWA WAATHRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI - Mtangazaji.com
http://www.mtangazaji.com/2017/01/kagerakauli-ya-rais-wa-tanzania-kwa.html
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa serikali ya nchi hiyo haitajenga nyumba ama kutoa chakula kw. KAGERA:TAMKO LA RAIS WA TANZANIA KWA WAATHRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa serikali ya nchi hiyo haitajenga nyumba ama kutoa chakula kwa waathirika wa Tetemeko la Ardhi lililotokea Septemba 2016. Subscribe to: Post Comments (Atom). SIKILIZA MORNING STAR RADIO. NYUMBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE.
mtangazaji.com
August 2007 - Mtangazaji.com
http://www.mtangazaji.com/2007_08_01_archive.html
Natumaini mnamkumbuka Jonathan Kambira Mapesa aliyekuwa mwalimu wa kwaya maarufu Tanzania,Magomeni SDA Choir(mwenye koti jeupe katikati) za. Natumaini mnamkumbuka Jonathan Kambira Mapesa aliyekuwa mwalimu wa kwaya maarufu Tanzania,Magomeni SDA Choir(mwenye koti jeupe katikati) zaidi ya miaka 10,akiwa na Noah Manongi na Amri Maliyatabu na wadau wengine huko Ughaibuni(Marekani).Ahadi Sagati anauliza Mapesa kipara kimetoka wapi? Subscribe to: Posts (Atom). SIKILIZA MORNING STAR RADIO. 160; ...Created...
mtangazaji.com
October 2007 - Mtangazaji.com
http://www.mtangazaji.com/2007_10_01_archive.html
The Children of God in the Bradford SDA Church, with Gods help, are having aCAMPAIGN starting on 13 of October 2007 until November 10, . The Children of God in the Bradford SDA Church, with God's help, are having aCAMPAIGN starting on 13 of October 2007 until November 10, 2007. If you knowsomeone in Bradford please let them know. In case you live far from Bradford, maythe Lord help you to come and join us. This is where weneed you the most. Or The Speaker Doctor Sam Mahlangu. MCHUNGAJI JOSEPH SHEM ONYANGO.
mtangazaji.com
March 2007 - Mtangazaji.com
http://www.mtangazaji.com/2007_03_01_archive.html
Popote pale ninapokuwa sitoweza kusahau BISMARCK ROCK iliyoko katika Ziwa Victoria huko Mwanza,Tanzania hata hivyo mpaka sasa sijapata haba. Popote pale ninapokuwa sitoweza kusahau BISMARCK ROCK iliyoko katika Ziwa Victoria huko Mwanza,Tanzania hata hivyo mpaka sasa sijapata habari za uhakika kwa nini jiwe hili lilipewa jina hilo pamoja na kusoma historia lakini bado akili yangu haijawa na amani kwa jina hilo naamini siku moja nitampata babu mmoja wa kisukuma nifanya naye mahojiano,kuzungumzia sehemu hii.
mtangazaji.com
PICHA:FAMILY SINGERS KATIKA KUREKODI VIDEO YAO MPYA - Mtangazaji.com
http://www.mtangazaji.com/2017/01/pichafamily-singers-katika-kurekodi.html
Baadhi ya Picha za Waimbaji wa Family Singers toka Buguruni jijini Dar es salaam wakiwa wanarekodiwa video yao mpya ambayo inata. PICHA:FAMILY SINGERS KATIKA KUREKODI VIDEO YAO MPYA. Baadhi ya Picha za Waimbaji wa Family Singers toka Buguruni jijini Dar es salaam wakiwa wanarekodiwa video yao mpya ambayo inatarajiwa kutoka mapema mwaka huu.Video hiyo inarekodiwa na Kampuni mpya M-Production. Kundi hilo lina matoleo matatu ya audio na toleo moja la Santuri Mwonekano. Subscribe to: Post Comments (Atom).
mtangazaji.com
July 2007 - Mtangazaji.com
http://www.mtangazaji.com/2007_07_01_archive.html
Siku ya leo nimefurahi sana kupata maoni ya msingi,changamoto na yenye kujenga kutoka kwa mdau mmoja wa blog hii aliyeko Frolida,Marekani.Ka. OMBI KWA WASIKILIZAJI WANGU. Ama kwa namba yangu ya kiganjani ambayo ni 255 713 309314. Katibu wa Kanisa la waadventista Kanda ya Afrika Mashariki na Kati,Mch Luguri wakiwa na Mwinjilisti wa kimataifa Amon Makangara wakihubiri . MCHUNGAJI LUGURI NA MWINJILISTI MKANGARA-MAKAMBI MAGOMENI(DAR). Kwa muda wa miaka isiyopungua mitano nimefahamiana na Mhubiri wa kimataifa...
mtangazaji.com
VIDEO:RAIS DKT MAGUFULI ALIPOKUTANA NA DANGOTE - Mtangazaji.com
http://www.mtangazaji.com/2016/12/videorais-dkt-magufuli-alipokutana-na.html
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alipokutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha D. VIDEO:RAIS DKT MAGUFULI ALIPOKUTANA NA DANGOTE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alipokutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara, Alhaji Aliko Dangote ,Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10,2016. Subscribe to: Post Comments (Atom). SIKILIZA MORNING STAR RADIO. 160; &...Created By S...
mtangazaji.com
June 2007 - Mtangazaji.com
http://www.mtangazaji.com/2007_06_01_archive.html
Hapa niko na mwandishi wa habari wa siku nyingi nchini Tanzania ambaye kwa sasa yuko Redio Uhuru Dar es saalam,Deogratius Kiduduye hapa tuk. Hapa niko na mwandishi wa habari wa siku nyingi nchini Tanzania ambaye kwa sasa yuko Redio Uhuru Dar es saalam,Deogratius Kiduduye hapa tukiwa tunajiandaa kuingia katika mjadala wa Mazingira ulioendeshwa na Baraza la Mazingira la Zambia,waandishi wa habari wa Zambia na wadau wa mazingira nchini humo. Subscribe to: Posts (Atom). SIKILIZA MORNING STAR RADIO. 160; ...
mtangazaji.com
May 2007 - Mtangazaji.com
http://www.mtangazaji.com/2007_05_01_archive.html
Amini usiamini msikilizaji wangu hii ni maktaba katika Chuo Kikuu cha KTH huko Sweden,pichani ni kutoka kushoto ni Abrahamu(Kameruun),Aureu. Huu ni upande mwingine wa Chuo Kikuu cha KTH huko Stockhlom,Sweden swali la msingi ni kwamba toka 1827 hadi leo jengo hili laonekana bichi . Huu ni upande mwingine wa Chuo Kikuu cha KTH huko Stockhlom,Sweden swali la msingi ni kwamba toka 1827 hadi leo jengo hili laonekana bichi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mmoja wapo wa wadau wa blog hii Aureus Mbele aliyeko maso...
mtangazaji.com
PICHA NA VIDEO TOKA TAMASHA LA SAUTI ZOTE ZIIMBE DESEMBA 26,2016 JIJINI DAR ES SALAAM - Mtangazaji.com
http://www.mtangazaji.com/2016/12/picha-na-video-toka-tamasha-la-sauti.html
160; Pia na Video kutoka Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam ambapo Desemba 26,2016 kulifanyika Tamasha la Sauti Zote Ziimbe, Tamasha . PICHA NA VIDEO TOKA TAMASHA LA SAUTI ZOTE ZIIMBE DESEMBA 26,2016 JIJINI DAR ES SALAAM. Mahojiano na Mratibu wa Tamasha la Sauti Zote Ziimbe. Subscribe to: Post Comments (Atom). SIKILIZA MORNING STAR RADIO. NYUMBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE. UMEZIONA ALAMA ZA BARABARANI ZINAZOENDELEA KUWEKWA KATIKA BARABARA MPYA JIJINI DAR ES SALAAM? Naibu Waziri wa Afya, Maendele...