bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: June 2014
http://bishophiluka.blogspot.com/2014_06_01_archive.html
Jun 25, 2014. USHINDI WA SHOESHINE FESTICAB: Kwanini hatutilii maanani filamu fupi? TAKRIBAN wiki mbili zilizopita nilikuwa mjini Bujumbura nchini Burundi kwa mwaliko wa Shirika la Kijerumani la GIZ, ambapo Mtandao wa Wanafilamu wa Afrika Mashariki ulikuwa ukizinduliwa rasmi, sambamba na Tuzo za filamu kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu la Burundi (Festicab) 2014, linalofanyika jijini Bujumbura. Jun 16, 2014. HARAKATI ZA TAFF: Serikali, sikieni kilio chetu kwa mustakabali wa Taifa. Katika mifano hii m...
bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: November 2014
http://bishophiluka.blogspot.com/2014_11_01_archive.html
Nov 26, 2014. Uandishi bora wa Filamu: Tuanze kuwafundisha watoto jinsi ya kuandika script. Magdalena Hiluka, akiwa na miaka 4 wakati huo. Inashauriwa. Kumpa hamasa mtoto katik. A umri mdogo ili kujenga kipaji chake . Tangazo (poster) la filamu ya Mke Mchafu. Nov 7, 2014. TAFA AWARDS: TUZO KUBWA ZA FILAMU TANZANIA. Logo ya Tuzo za Filamu Tanzania (TAFA). Subscribe to: Posts (Atom). Dar Es Salaam Time. Zilizosomwa zaidi wiki hii:. Je, unajua kuwa Filamu ya Yesu imerudiwa upya? View my complete profile.
bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: Tunahitaji mapinduzi ya kweli ya sekta ya filamu Tanzania
http://bishophiluka.blogspot.com/2015/04/tunahitaji-mapinduzi-ya-kweli-ya-sekta.html
Apr 22, 2015. Tunahitaji mapinduzi ya kweli ya sekta ya filamu Tanzania. Simon Mwakifwamba, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania. Dilesh Solanki, Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps Entertainment. HALI ya tasnia ya filamu nchini kwa sasa inakatisha tamaa, wasanii na viongozi wao wengi wamefikia ukomo wa kufikiri, wanaonekana kuridhika na hali ilivyo au pengine wamekata tamaa, ingawa bado wana nafasi kubwa ya kufanya vizuri zaidi. Vyombo vya kuwasimamia, likiwemo Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),. Kwa hal...
bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: January 2015
http://bishophiluka.blogspot.com/2015_01_01_archive.html
Jan 1, 2015. Mwaka 2014 umeshuhudia vifo mfululizo vya wasanii. Wapo waliohusisha vifo hivi na kafara. Marehemu George Otieno Okumu Tyson. Marehemu Adam Phillip Kuambiana. Subscribe to: Posts (Atom). Dar Es Salaam Time. Zilizosomwa zaidi wiki hii:. Je, unajua kuwa Filamu ya Yesu imerudiwa upya? Umewahi kusikia juu ya KITI CHEUPE? Soko la filamu Tanzania linakua? 8220;Spec Scriptwriting”, uandishi wa filamu wenye changamoto nyingi. Wasomi wetu na kisa cha ‘Heri mimi sijasema’! View my complete profile.
bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: April 2015
http://bishophiluka.blogspot.com/2015_04_01_archive.html
Apr 22, 2015. Tunahitaji mapinduzi ya kweli ya sekta ya filamu Tanzania. Simon Mwakifwamba, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania. Dilesh Solanki, Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps Entertainment. HALI ya tasnia ya filamu nchini kwa sasa inakatisha tamaa, wasanii na viongozi wao wengi wamefikia ukomo wa kufikiri, wanaonekana kuridhika na hali ilivyo au pengine wamekata tamaa, ingawa bado wana nafasi kubwa ya kufanya vizuri zaidi. Vyombo vya kuwasimamia, likiwemo Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),.
bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: SEKTA YA FILAMU: Kenya inapiga hatua wakati sisi tunasinzia
http://bishophiluka.blogspot.com/2015/05/sekta-ya-filamu-kenya-inapiga-hatua.html
May 6, 2015. SEKTA YA FILAMU: Kenya inapiga hatua wakati sisi tunasinzia. Gavana wa Kaunti ya Machakosi, Alfred Mutua. SEKTA ya Filamu nchini Kenya imetajwa kama sekta muhimu sana katika ujenzi wa uchumi wa nchi hiyo, hasa katika kuvutia watalii na kutoa nafasi za ajira kwa vijana wa Kenya. Lakini sekta hiyo kwa muda mrefu imekosa wafadhili wa kuiwezesha kufikia kiwango hicho na kuendelea kubaki nyuma huku sekta zingine kama utalii zikinawiri. Tofauti na jinsi tunavyoichukulia sekta hii nchini Tanzania, ...
bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: May 2015
http://bishophiluka.blogspot.com/2015_05_01_archive.html
May 27, 2015. Wasanii wanapokubali kutumika kisiasa! Bishop Hiluka, Simon Mwakifwamba na Michael Sangu. Wakati wa harakati za kupigania ukombozi wa msanii. HISTORIA huwa haina haja na wale wote wenye kushindwa, labda tu kunukuu tarehe walizokutwa na umauti wao. Sekta ya filamu Tanzania ambayo ilionekana kupiga hatua siku hadi siku, siku za karibuni imeonekana kuanza kudorora. Ipo chumba cha wagonjwa mahututi (ICU). May 13, 2015. Kuna nini Sekta ya Utamaduni? Ingawa Sekta ya Utamaduni imekuwa katika mfumo...
bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: Wasanii Bongo Movie na madai ya ukahaba, kupiga picha chafu
http://bishophiluka.blogspot.com/2012/06/wasanii-wa-bongo-movie-na-madai-ya.html
Jun 4, 2012. Wasanii Bongo Movie na madai ya ukahaba, kupiga picha chafu. Ni muda mrefu imekuwa ikisemwa kuwa wasanii wanaoendesha maisha. Kwa ‘kuuza nyago’ kwenye filamu za Kibongo ni watu wanaojiuza, kufanya ufuska na kupiga picha za utupu, ambapo imeshawahi kutolea orodha ndefu ya wasanii hao, huku wengine wakiondoka nchini na kwenda kufanya ufuska huo nje ya Tanzania. Madai ya kufanya ufuska yaliwahi kuthibitishwa na. Sanaa ya Bongo ni vigumu. Ikiwa ni pamoja na kujiuza na kupiga picha chafu. 8220;Kw...
bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: September 2014
http://bishophiluka.blogspot.com/2014_09_01_archive.html
Sep 13, 2014. IMEANDIKWA, “Kila siri iliyo moyoni kwa mwandishi, kila aina ya maisha aliyoyapitia, au kipimo cha akili ya mwandishi vimeainishwa kwa kiasi kikubwa katika maandishi yake.” hii inamaanisha kuwa kazi za kimaandishi za waandishi huwaonesha wao ni kina nani, wametokea mazingira gani, wana uwezo gani wa kufikiri na wanataka kuwa nani. Subscribe to: Posts (Atom). Dar Es Salaam Time. Zilizosomwa zaidi wiki hii:. Je, unajua kuwa Filamu ya Yesu imerudiwa upya? Umewahi kusikia juu ya KITI CHEUPE?
bishophiluka.blogspot.com
Mwanaharakati: Dunia na historia ya filamu
http://bishophiluka.blogspot.com/2015/02/dunia-na-historia-ya-filamu.html
Feb 4, 2015. Dunia na historia ya filamu. Muongozaji wa filamu Tanzania, John Lister Manyara. Grifftith alikuja na mbinu ya kuwafanya watazamaji kuwa sehemu ya hadithi zake. Sababu ya kuwafanya watazamaji kuwa sehemu ya hadithi ni kuifanya hadithi yako ivutie zaidi – isisimue zaidi. Lakini hii hufanywa kwa kuwaingiza watazamaji katika matukio, na kulenga zaidi kwenye usikivu wao hapa, na pale. Mhusika A anahusiana vipi na Mhusika B? Sinema nyingi zilizofanikiwa huwa zina mhusika mkuu (protagonist) aliye ...
SOCIAL ENGAGEMENT